Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Masogange mbna hajatajwa kwenye hyo habari
mkuu masogange si jina lake bali video iliyomtoa inaitwa masogange ya belle 9 jina lake agnes gerald
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masogange mbna hajatajwa kwenye hyo habari
Masogange mbna hajatajwa kwenye hyo habari
nami nashangaa title yake
huku kilichomo kikikanusa uhalisia wa uraia wao
cha kujiuliza hayo madawa yalipenyaje JKN airport?
jana tumeambiwa wamewakamata tena wawili wakielekea bangkong
nadhani wahusika wataanikwa,, Bil 6 sio mchezo
Unachiksema nirahisi ingekuwa ni hapa bongo ila ishu iko nchi nyingine na ukubwa mtu bongo si lazima awe mkubwa nchi zote duniani,ki kwetu tunaitwa waliokamatwa ni mbuzi wa kafaraHiyo ni mizigo ya wakubwa,
hao waliokamatwa wanaitwa ni 'punda'
kwa lugha ya kwetu tunasema ni bahati mbaya
na lazima wataachiwa kwa 'amri'.
Unachiksema nirahisi ingekuwa ni hapa bongo ila ishu iko nchi nyingine na ukubwa mtu bongo si lazima awe mkubwa nchi zote duniani,ki kwetu tunaitwa waliokamatwa ni mbuzi wa kafara
Hiyo ni mizigo ya wakubwa,
hao waliokamatwa wanaitwa ni 'punda'
kwa lugha ya kwetu tunasema ni bahati mbaya
na lazima wataachiwa kwa 'amri'.
Umewahi kufika South Africa? kule hakuna kina Papaa Msofee....Hiyo ni mizigo ya wakubwa,
hao waliokamatwa wanaitwa ni 'punda'
kwa lugha ya kwetu tunasema ni bahati mbaya
na lazima wataachiwa kwa 'amri'.
Jamani hebu twende taratibu....
Hivi mnafahamu kilo 150 ni sawa na mifuko mitatu ya Cement? hakuna kitu kama hicho katika biashara ya usafirishaji unga kwa njia ya kupanda nao kwenye ndege.
Watanzania tujaribu kuwa na akili za udadisi kidogo, hata hao wanaomeza tumboni mtu anayejitahidi sana umeza kilo moja tu ya unga ambayo inakuwa kwenye vipipi. Huu ni uongo wa mchana.
Kama kungekuwa na unga wa uzito wa kilo 150 basi ungetumika usafiri wa baharini au kwa gari, tusipende kulishwa habari za uongo uongo tu.