Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

nami nashangaa title yake
huku kilichomo kikikanusa uhalisia wa uraia wao
cha kujiuliza hayo madawa yalipenyaje JKN airport?
jana tumeambiwa wamewakamata tena wawili wakielekea bangkong
nadhani wahusika wataanikwa,, Bil 6 sio mchezo

ni watanzania mmoja kazaliwa 1988 na mwingine 1989.....
 
Ajabu watoto wakike sasa ndio wamekuwa vinara wakufanya kazi hii,jamani dada zangu maisha sio hayo,maisha hayana short cut,tamaa mwisho wake huwa ni majuto
 
Halafu huyu binti me namuhisi sana.kukicha south....na lile bwana lake lenye sura ya kike limefuga rasta na macheni kibaao km mwanamama....si bure ipo siku
Soma hapa majina yanafanana na huyo unayemuhisi Home
 
Hiyo ni mizigo ya wakubwa,
hao waliokamatwa wanaitwa ni 'punda'
kwa lugha ya kwetu tunasema ni bahati mbaya
na lazima wataachiwa kwa 'amri'.
 
Hiyo ni mizigo ya wakubwa,
hao waliokamatwa wanaitwa ni 'punda'
kwa lugha ya kwetu tunasema ni bahati mbaya
na lazima wataachiwa kwa 'amri'.
Unachiksema nirahisi ingekuwa ni hapa bongo ila ishu iko nchi nyingine na ukubwa mtu bongo si lazima awe mkubwa nchi zote duniani,ki kwetu tunaitwa waliokamatwa ni mbuzi wa kafara
 
Dancani kwa kuwa hauelewi lazima useme hivyo,
lakini hali halisi ndiyo iko hivyo.
Unachiksema nirahisi ingekuwa ni hapa bongo ila ishu iko nchi nyingine na ukubwa mtu bongo si lazima awe mkubwa nchi zote duniani,ki kwetu tunaitwa waliokamatwa ni mbuzi wa kafara
 
Last edited by a moderator:
Jamani hebu twende taratibu....

Hivi mnafahamu kilo 150 ni sawa na mifuko mitatu ya Cement? hakuna kitu kama hicho katika biashara ya usafirishaji unga kwa njia ya kupanda nao kwenye ndege.

Watanzania tujaribu kuwa na akili za udadisi kidogo, hata hao wanaomeza tumboni mtu anayejitahidi sana umeza kilo moja tu ya unga ambayo inakuwa kwenye vipipi. Huu ni uongo wa mchana.

Kama kungekuwa na unga wa uzito wa kilo 150 basi ungetumika usafiri wa baharini au kwa gari, tusipende kulishwa habari za uongo uongo tu.
 
Asante, hata mie nimefikiria hivyo hivyo

Unga wa kuwekwa kwenye masanduku?

Back
Top Bottom