Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au hawaeleweki. sababu wanapoongea nawe wanaassume kuna mambo unayaelewa automatically. Anaishia kufeli vibaya. Wale ambao wanaweza kueleza mambo kwa kirefu na kugusa kila sehemu, hata kama wanaongea pumba huonekana wana maarifa sana na waongeaji wazuri.
Sasa hili tatizo ndani ya nchi hii lipo mara elfu. Watu wazima akili zao/zetu zimestack kwenye level ya watoto wa primary. Mawazo na uchambuzi wetu upo level ya mtu wa darasa la saba au chini. Unapotaka kuongea na watz usiassume kuwa kuna vitu vya kawaida watakuwa wanaelewa. Waeleze kama vile unaongea na watoto. Gusa kila kitu, usifikirie kuwa watajiongeza. We mwenyewe si unaona jinsi watu wanaoongea sana nchi hii wanavyokuwa wanasiasa, publicists, chawa na watu wenye ushawishi.
Lengo la mada ni nini? Lengo ni kujulishana kuwa watanzania wengi akili zao ni kama za watoto. Epuka madhara ya Laana ya maarifa unapowasiliana nao. Wasiliana kama vile unawasiliana na watu wenye akili za kitoto.