Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

Kiswahili ni lugha tamu, mataifa yote yanatamani kuijua. Sanjari na watu wake ni wakarimu pia. Mteja ametoa pesa yake kununua kitu lakini bado atasema 'Naomba' Kisha atamaliza kwa kusema 'Ahsante'.

Nchi jirani wengi wao wanasema 'Nipe' eti kwa sababu mtu ametoa pesa yake, hawezi kusema naomba wala kusema 'ahsante'.
 
Screenshot_20230203-001825_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom