Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

Wengi tunajua kuandika, tatizo una andika nini na kwa wakati gani?
 
Ni taarifa za utafiti juu ya jambo Fulani, yeye amefanya utafiti kwa watu wangapi mpaka akasema watanzania wengi!!? Pili kwanini yeye mwenyewe hajui kuandika, tunawezaje kuamini utafiti wa mtafiti!!?
Takwimu zinahusu wingi au uchache (idadi) na zaidi tarakimu (numbers).
Je katika huu uzi kuna takwimu zozote?
 
Unataka kumfanya nini mwenzako ?[emoji1787]yupo uchi alafu achutame usiku huu,saa 12:26 AM[emoji23]
Muda, unaweza kuwakilishwa kwa Kiswahili pia.
12.26 am ni Kiingereza, ambayo hata sijui unamaanisha ni saa ngapi, maana am si usiku au jioni bali ni asubuhi.
 
Back
Top Bottom