Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Deodorant sio nzuri kwa matumizi.

Muhimu mtu ni kuoga Kwa sabuni na kujisugua makwapani kwa povu jingi na kurudiarudia na kupaka mafuta hata kama ni ya kupikia.
Wengine wanahitaji msasa laini
 
Point namba mbili itatufaa sana.

Kuoga ni kazi sana, mi huwa naoga kwa kumuhurumia tu my bedmate, na baridi hiiπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Focus kwenye mambo yako, hutapata muda wa kumtafuta mchawi Ni nani
 
Siku ukipata nafasi niandikie niki kisa, Mwamlima alibariki ndoa yangu pale kanisani kwake karibu na loleza, miaka hiyo wewe hujazaliwa bado.
DUH...... Wakati wa kubariki ndoa Yako sisi ndio tulikuimbia nyimbo za harusi nikiwa na kina Ulimba, Nyandu, Mwasumbi, Agrey Kandonga na wengine wengi, tumezeeka sana sasa.

Mgogoro mzima wa Mwamlima nitakutumia, usijali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…