Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Watanzania wengi hasa mashabiki wa CCM Wana matatizo ya kiakili mkuu!

Fikiria mtu anakupigia simu halafu anakwambia "Niambie"

Yaani unanipigia Simu halafu unasema "Niambie",nikwambie Nini?,ningekuwa na uhitaji wa kukwambia Mimi mwenyewe ningekupigia !
 
Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Huu upuuzi nilishaukataa kitambo. Mtu katumia namba ngeni kukupigia, unapokea then mtu kanyamaza tu anangoja uongee wewe kwanza. My friend, tutapumua hadi salio likuishie
 
Back
Top Bottom