Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Tunda zuri mi nakukubali tuu..
Yaani hupendi ugomvi na mtu hata akija ki shari vipi an
Kila mtu na starehe yake kwa kweli ili mradi usikere mtu wala usibugudhi jamii, najipafuraha kwa kweli staki stress, stress ni dalili za mwanzo wa ugonjwa wa akili. Hapa najifurahisha kwa kweli kama mtu anakuja na ushauri wake namuangalia maana mm yamkini najua zaidi kuliko hata yeyee, so apunguze stress kwa kweli tupo ulimwenguni kila mtu ana fujo zake kikubwa usikele mtu. Anaehuku ni Mungu tuuu hakuna dhambi ndogo wala kubwaa, atambue tu kwamba mbinguni hakuna jinsiaa, wote tutafanana 😜
 
Nakupenda sana rfk yangu sema tu humu JF tupo kama Maghost tungekuwa tushaonana kitambo hahahah. Najisikia kukewa leoo jaman, ngoja nije niende nikale kitibaridi choma na kinywaji changu cha baridi hadi roho isuuzije. Nimebakiza masaa mawili nitoke kazn, anyone to accompany me plz😅
 
Mi najikuta nakukubali tuu mkuu..
Wewe ni katika watu ambao u complicate maisha
 
Mi nipo tunda zuri kama upo dasalam hapa naimani ipo siku tutaonana rafiki angu...
Naona leo mapema kabisa
 
Mi najikuta nakukubali tuu mkuu..
Wewe ni katika watu ambao u complicate maisha
Life is tuu short, nimejifunza kupenda kila mtu ndicho nilichofundishwa nyumban kwetu, kwa kweli kwenye hayo maeneo sijawafundishwa kujudge mtu bali kupenda na kusaidia pale panapobidi. Be humble kwa watu utapata wa kukusemea hata ukipatwa na shida gani. Kitu kingine nimejifunza kuheshimu mawazo ya watu hata kama ni tusi kwa kweli kiukweli mdomo wangu haujawahi mtukana mtu tangu nizaliwe, sijawahitukana mtuu kwa kweli
 
Kweli mkuu ukiwa humble utakaa na kila mtu..
Huwa nashanga mtu anapopata ujasili wa kumtolea mwenzake maneno machafu huwa naumia sana aiseee..

Ila kingine katika haya maisha mambo yote tunayofundishwa na vitab vya dini ni UPENDo hvo tupendane mkuu hata kwa kiasi gani ila tupendane..

Mi napenda kila mtu yoyote atakaye kuwa yupo negative na mimi its oky sina mda nae..
Potelea mbali
 
Back
Top Bottom