ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Kabisa, nashangaa sana mtu ambaye haelewi hili.Akipiga apokelewi utambulisho atajiongeza kwenye sms.
Kwangu namba ngeni asipojitambulisha hata sihangaiki nae. Maswala ya ulifuta namba yangu huwa siyataki, mtu ajitambulishe kama inahitajika kwenye haya maisha mambo ni mengi na dharura zinatokea zinazopelekea kupoteza mawasiliano ya watu.