Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Ndio maana poor brain una akili nying😅
Mi nikiamua kupotezea ishu za kunitoa kwa mstari napotezea kweli...

Siwezi anza chunguza mtu mimi hata..
Maisha yenyewe mafupi haya badala niwaze raha et nikae nijifanye Albert Einstein kuanza kufukunyua mambo 🙌🙌🙌🙌🙌😁😁😁😁
 
Take it easy bro usiji stress na vitu vidgo.
Mtu akikuambia " niambie" mjibu sina cha kukuambia lete habar, ukiona hana jambo muhimu la kuongea na muda huo una shughuli zako mwambie tu kwamba naomba nikupigie baadae nina kazi.
 
Mtu akiniambia hivyo huwa namwambia Nikikuambia utakubali? 😅😅😅
 
Back
Top Bottom