Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Alhamdullilah nipo salama..Waaleikumsalam warahmatullahi wabarakatuh Vipi kijana wangu?
Vipi ijumaa yako leo utapata jamaa wapi..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alhamdullilah nipo salama..Waaleikumsalam warahmatullahi wabarakatuh Vipi kijana wangu?
Una akili sanaa nakupenda bureeMi nikiamua kupotezea ishu za kunitoa kwa mstari napotezea kweli...
Siwezi anza chunguza mtu mimi hata..
Maisha yenyewe mafupi haya badala niwaze raha et nikae nijifanye Albert Einstein kuanza kufukunyua mambo 🙌🙌🙌🙌🙌😁😁😁😁
You make my day hahahMtu akiniambia hivyo huwa namwambia Nikikuambia utakubali? 😅😅😅
Nasafiri kwenda msibani leoAlhamdullilah nipo salama..
Vipi ijumaa yako leo utapata jamaa wapi..?
Vitu vingine ni dhalau aise! Pengine umempigia kwa salio lako, anakwambia kata kwanza. Ina maanaunachoongea wewe ni pumba? Na kwa tabia za kiafrika, mtu anaekufanyia hivi, thamani yako kwake huwa ni ndogo ukilinganisha na anaemfanya akukatie simu au akusubilishe. Inakela na hata kama ni mama mzazi utajuta. Mi siwezi. Labda uniandae mapema kabisa, kwamba kuna simu nyingine unasubiri na kama ni ya mhimu, ntaona kawaida.Mimi huwa nawaambia baba au mama anapiga. Mtu hawezi kuzingua kwa sababu ni watu muhimu.
Kuna mmoja kanipigia juzi anapumua tu na mimi ikabidi nipumueHuu upuuzi nilishaukataa kitambo. Mtu katumia namba ngeni kukupigia, unapokea then mtu kanyamaza tu anangoja uongee wewe kwanza. My friend, tutapumua hadi salio likuishie
Bora wewe hata uliambiwa otea!, mimi nimepigiwa na namba ngeni kosa kusema simjui tu basi kanuna!. ndo nipo nambembeleza mtanzania mwenzangu..🤣
😂😂😂😂😂 Wanajifanyaga wamepinda. Mwendo ni uleuleKuna mmoja kanipigia juzi anapumua tu na mimi ikabidi nipumue
Ndio maana nikasuggest umfate Poor Brain pm, akili zenu zina ufanano muruaJaman, miaka unajipangia mwenyewe, mm mwenye kila mwaka nina miaka 22 nitapanda nikiamua
😁😁😁😁😁😁 Acha bana...Ndio maana nikasuggest umfate Poor Brain pm, akili zenu zina ufanano murua
Sasa hapo utakuwa sensitive sana mkuu, yani mama au baba wa mtu anampigia na unaona haina umuhimu.Vitu vingine ni dhalau aise! Pengine umempigia kwa salio lako, anakwambia kata kwanza. Ina maanaunachoongea wewe ni pumba? Na kwa tabia za kiafrika, mtu anaekufanyia hivi, thamani yako kwake huwa ni ndogo ukilinganisha na anaemfanya akukatie simu au akusubilishe. Inakela na hata kama ni mama mzazi utajuta. Mi siwezi. Labda uniandae mapema kabisa, kwamba kuna simu nyingine unasubiri na kama ni ya mhimu, ntaona kawaida.
Mi nimeongelea ukipigiwa wewe, au umempigia mtu hata huyo mzazi. Then anakwambia kata simu kwanza. Mara moja au mbili hakuna shida. Tatizo ikiwa mazoea. Na mpaka unafikia maamuzi hayo, si unakuwa umeshamtahadhalisha? Mfano wife nyumbani akiwa na tabia hiyo, utalichukuliaje?Sasa hapo utakuwa sensitive sana mkuu, yani mama au baba wa mtu anampigia na unaona haina umuhimu.
Kuna wengine hatuongei daily na wazazi kwa hiyo nikiona simu lazma niweke mengine pembeni lakini lazma nikuombe kwa lugha ya kistaarabu na nikimaliza kuongea na wazazi nakupigia. Kuna lipi baya katika hilo
Na ukija kuangalia, mara nyingi utakuta hali kiuchumi ndo chanzo. Anabalance, anaona asipompokea yule atapoteza, Hivyo anakuwa kama kwako anapoteza muda tuMkuu mwanzoni mama yangu mzazi alikua ananifanyia hivi nikate simu ili aongeee na mdogo wangu tunaefuatana😁😁😁😁
Ongezea na akili. Yaani mtu tena kakupigia mwenyewe, af eti subiri kwanza, au kata simu kwanza nipokee huyu. Ukimvumilia, ukipiga tena, utasikia hivo hivo. Mahousegirl au wanaofanana akili ndo wanaweza hayo. Hata kama nilikuwa na jambo, nakuacha kabisa.Mara nyingi hao ni madem au watoto waliozaliwa baada ya mwaka 1999 kiufupi anataka mfanane umri👫
Aloooo usimlaumu bro. Ukiwa chini ya miaka 25 utaona kawaida. Mtu kukuuliza nani, ni kwamba hajakutambua. Kujitambulisha unapungukiwa nini? Ni yale yale mtu akili zake za kuku anataka na wewe zifanane.Aaaah kama unasumbuliwa na vitu vidogo kama hivyo,wewe utakuwa na msongo sana