Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Mimi huwa nawaambia baba au mama anapiga. Mtu hawezi kuzingua kwa sababu ni watu muhimu.Na hili ukijichanganya ukaniambia hivo, maongezi na wewe tena ni live. Kuongoea kwenye simu tena ndo basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa nawaambia baba au mama anapiga. Mtu hawezi kuzingua kwa sababu ni watu muhimu.Na hili ukijichanganya ukaniambia hivo, maongezi na wewe tena ni live. Kuongoea kwenye simu tena ndo basi.
Nimemkumbuka Kabendera🙃Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Tatizo lako we dogo una dharau sana ndio maana mishangazi ya tabata naachaga tu iende kwa wana wengine.Vishu ni mshenzi wa tabia ahahaha
Kuna za chini chini kua Tundazuri ni dume. KalaghabahoMkuu unajua kunishambulia mimi ni kutafuta vita na tundazuri
Kafanyaje?Nimemkumbuka Kabendera🙃
Sio miyeyusho mkuu..Tatizo lako we dogo una dharau sana ndio maana mishangazi ya tabata naachaga tu iende kwa wana wengine.
Mi nakupigia pande kila kona ila we miyeyusho
nimecheka kwa sauti mieee daaah 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 daaah weee vishu watakupiga ujueKuna za chini chini kua Tundazuri ni dume. Kalaghabaho
Weee unajua jf humu mna mambo ya ajabu 😄😄😄😄😄😄😄 Kalaga Baho Nongwa njoo huku
Mara nyingi hao ni madem au watoto waliozaliwa baada ya mwaka 1999 kiufupi anataka mfanane umri👫Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Mental health!Kafanyaje?
Nimeamini wagonjwa waakili wapo wengi so Poor brain usiwasikilize, kwani mm kuwa rafiki yako wanapungukiwa nini? Hebu wahudhurie clinic mapemanimecheka kwa sauti mieee daaah 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 daaah weee vishu watakupiga ujue
SawaPole afya ya akili ni ugonjwa hatari ila dawa zipo za kucontrol mood
😂😂😂 Utaipiga fake id, zaidi zaidi nitatukanwa tu.nimecheka kwa sauti mieee daaah 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 daaah weee vishu watakupiga ujue
Sanaa yaan sijui wakojee, kila mtu na life lake alaf humu tupo kama maghost hahaha,Weee unajua jf humu mna mambo ya ajabu 😄😄😄😄😄😄😄 Kalaga Baho Nongwa njoo huku
Washamba hao..Nimeamini wagonjwa waakili wapo wengi so Poor brain usiwasikilize, kwani mm kuwa rafiki yako wanapungukiwa nini? Hebu wahudhurie clinic mapema
Hatuna waislam vichaa na dogo kila siku umri wako unabadilika leo 27 juzi ulikua na 25.Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni muslam.
naishi DAR
kazi yangu ni nimejiajili
elimu yangu ni DEGREE.
Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,
*awe muslam
*Awe anaishi dar
*awe ameajiliwa au anafanya biashara
awe na miaka kwanzia 20 adi 26.
*ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO ANIFUATE PM
Acha ukorofi mkuuu 😄😄😄😂😂😂 Utaipiga fake id, zaidi zaidi nitatukanwa tu.