Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Ukisema tu niambie nakujibu NAKUPENDA hata kama ni mwanaume mwenzangu.Watanzania wengi hasa mashabiki wa CCM Wana matatizo ya kiakili mkuu!
Fikiria mtu anakupigia simu halafu anakwambia "Niambie"
Yaani unanipigia Simu halafu unasema "Niambie",nikwambie Nini?,ningekuwa na uhitaji wa kukwambia Mimi mwenyewe ningekupigia !