mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
mbona mkorofi hivyoKuna hiyo ya otea mimi nani au ile ya mimi mume/mke wako umenisahau, tbh siintateini hayo mambo huwa nakata simu ili akipiga tena ajitambulishe vizuri.
Noombona mkorofi hivyo
are you a mura?
Hahahaha ila watu sijui wakoje mkuu!Yaan sipendi hilo neno, yaan unitafute wewe alaf unasema niambie, kweli afya ya akili
Tunda Gani mkuu?Mm ukiniambia otea nitasema, utakuwa ulinikula tunda juzi ili tuvurugwe wote akili, sitaki habari za kuotea wala kupeana miji sijui, maisha yenyewe naotea yaan na ww nikuotee dohh
Hizo akili za Vishu Mtata 😁😁😁😁😁Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
😄😄😄😄😄😄😄 Wewe jau sana..Akili za Poor Brain hizo
OteaaaBado nafasi ipo kurudi chamani wewe wa kiume kaza acha kujilegeza legeza.
Inawezekana kabisa mbona wenzako wanaweza huko.
Tunda zuri mi nakukubali tuu..Oteaaa
Kila mtu na starehe yake kwa kweli ili mradi usikere mtu wala usibugudhi jamii, najipafuraha kwa kweli staki stress, stress ni dalili za mwanzo wa ugonjwa wa akili. Hapa najifurahisha kwa kweli kama mtu anakuja na ushauri wake namuangalia maana mm yamkini najua zaidi kuliko hata yeyee, so apunguze stress kwa kweli tupo ulimwenguni kila mtu ana fujo zake kikubwa usikele mtu. Anaehuku ni Mungu tuuu hakuna dhambi ndogo wala kubwaa, atambue tu kwamba mbinguni hakuna jinsiaa, wote tutafanana 😜Tunda zuri mi nakukubali tuu..
Yaani hupendi ugomvi na mtu hata akija ki shari vipi an
Nakupenda sana rfk yangu sema tu humu JF tupo kama Maghost tungekuwa tushaonana kitambo hahahah. Najisikia kukewa leoo jaman, ngoja nije niende nikale kitibaridi choma na kinywaji changu cha baridi hadi roho isuuzije. Nimebakiza masaa mawili nitoke kazn, anyone to accompany me plz😅Tunda zuri mi nakukubali tuu..
Yaani hupendi ugomvi na mtu hata akija ki shari vipi an
Mi najikuta nakukubali tuu mkuu..Kila mtu na starehe yake kwa kweli ili mradi usikere mtu wala usibugudhi jamii, najipafuraha kwa kweli staki stress, stress ni dalili za mwanzo wa ugonjwa wa akili. Hapa najifurahisha kwa kweli kama mtu anakuja na ushauri wake namuangalia maana mm yamkini najua zaidi kuliko hata yeyee, so apunguze stress kwa kweli tupo ulimwenguni kila mtu ana fujo zake kikubwa usikele mtu. Anaehuku ni Mungu tuuu hakuna dhambi ndogo wala kubwaa, atambue tu kwamba mbinguni hakuna jinsiaa, wote tutafanana 😜
Mi nipo tunda zuri kama upo dasalam hapa naimani ipo siku tutaonana rafiki angu...Nakupenda sana rfk yangu sema tu humu JF tupo kama Maghost tungekuwa tushaonana kitambo hahahah. Najisikia kukewa leoo jaman, ngoja nije niende nikale kitibaridi choma na kinywaji changu cha baridi hadi roho isuuzije. Nimebakiza masaa mawili nitoke kazn, anyone to accompany me plz😅
Life is tuu short, nimejifunza kupenda kila mtu ndicho nilichofundishwa nyumban kwetu, kwa kweli kwenye hayo maeneo sijawafundishwa kujudge mtu bali kupenda na kusaidia pale panapobidi. Be humble kwa watu utapata wa kukusemea hata ukipatwa na shida gani. Kitu kingine nimejifunza kuheshimu mawazo ya watu hata kama ni tusi kwa kweli kiukweli mdomo wangu haujawahi mtukana mtu tangu nizaliwe, sijawahitukana mtuu kwa kweliMi najikuta nakukubali tuu mkuu..
Wewe ni katika watu ambao u complicate maisha
Kweli mkuu ukiwa humble utakaa na kila mtu..Life is tuu short, nimejifunza kupenda kila mtu ndicho nilichofundishwa nyumban kwetu, kwa kweli kwenye hayo maeneo sijawafundishwa kujudge mtu bali kupenda na kusaidia pale panapobidi. Be humble kwa watu utapata wa kukusemea hata ukipatwa na shida gani. Kitu kingine nimejifunza kuheshimu mawazo ya watu hata kama ni tusi kwa kweli kiukweli mdomo wangu haujawahi mtukana mtu tangu nizaliwe, sijawahitukana mtuu kwa kweli
Kama ni hawara yako kwa nini asikusupprise?Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂