Nimewahi kuwa mshiriki wa Forums za Nigeria, Ghana na Zimbabwe. Nilichoona Nigeria na Zimbabwe ni kuwa wanabishana kikabila zaidi lakini hawatupiani matusi ya wazi wazi kama "Stupid" au foolish." Forum ya Ghana ilikuwa ya kistaarabu sanaNadhani kulitoka takwimu za ongezeko la changamoto za afya ya akili.......hii inaweza kuwa sababu.....lakini tatizo hili halipo Tanzania pekee yake maana hata huko kwenye mitandao ya Nigeria hali ni mbaya.....
Waghana ni wastaarabu hata kwenye maisha ya kawaida wana hekima huruma na pia ni watu wa dini sana.......wa Nigeria ni watu aggressive sana....hata kwa maneno......wana hoja nzuri kwenye kujibizana lakini pia ndani yake kuna na maneno ya karaha......pitia pitia NairalandNimewahi kuwa mshiriki wa Forums za Nigeria, Ghana na Zimbabwe. Nilchoona Nigeria na Zimbabawe ni kuwa wanabishana kikabila zaidi lakini hatupiani matusi ya wazi wazi kama "Stupid" au foolish." Forum ya Ghana ilikuwa ya kistaarabu sana
Tabia ya mtu haitokani na utaifa...katika kila Taifa wastaarabu wapo na watu wa hovyo wapo.Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Uli ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Mkuu huku wanaongea au wanaandika?Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Uli ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Huku ni kuongea katika maandishi. Kwani kuongea ni lazima matamshi pekee? Nafikiri ujifunze aina za lugha mkuu.Mkuu huku wanaongea au wanaandika?
Hata Vichaa pia huona Binadamu wenye akili timamu ni zero brains...[emoji3578]Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Uli ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Kuna ule utamaduni wa jumla, yaani wengi wanakuwa na tabia fulani. Kwa mfano nchi za Scandiavia hakuna wezi kwa wingi.Tabia ya mtu haitokani na utaifa...katika kila Taifa wastaarabu wapo na watu wa hovyo wapo.
furaha inatoka wapi mzee, em fikiria saa 12 asubuhi tu washakata umemeTanzania ni moja ya nchi kitakwimu wananchi hawana furaha, ni maisha.
=mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini,