Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na ustaarabu katika kuongea

Mjinga sio tusi Bali mtu asifahamu kitu flani na mpumbavu ni mjinga pro max
Basi hapo ndipo matatizo yalipo iwapo unadhani kumwambia mtu kuwa ni mjinga siyo kumtukana. Kwa nini usimwambie mtu kuwa "Nadhani huelewi jambo hili vizuri", ambayo inaonyesha kuwa unaheshimu intelligence yake lakini ukurupuke kumwambia kuwa "Wewe ni mjinga." Mtu mjinga ni yule ambaye hajui chochote; yaani ubongoni ni mweupe (lack of intelligence), jambo ambalo ni tusi sana kwa intelligence ya mtu.
 
Bado tunaendelea kustaarabika mkuu, wengine walishafika mbali
 
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Elimu na matatizo ya afya ya akili.
 
Basi hapo ndipo matatizo yalipo iwapo unadhani kumwambia mtu kuwa ni mjinga siyo kumtukana. Kwa nini usimwambie mtu kuwa "Nadhani huelewi jambo hili vizuri", ambayo inaonyesha kuwa unaheshimu intelligence yake lakini ukurupuke kumwambia kuwa "Wewe ni mjinga." Mtu mjinga ni yule ambaye hajui chochote; yaani ubongoni ni mweupe (lack of intelligence), jambo ambalo ni tusi sana kwa intelligence ya mtu.
Kila mtu anaweza kuwa mjinga ktk nyaja flani
 
Nadhani kulitoka takwimu za ongezeko la changamoto za afya ya akili.......hii inaweza kuwa sababu.....lakini tatizo hili halipo Tanzania pekee yake maana hata huko kwenye mitandao ya Nigeria hali ni mbaya.....
...Unaambiwa kule Kigoma Kuna Kabila Moja Kubishana ni Asili, mkibishana Sana mnaweza kuuweka ubishi Wenu ' Halftime' male halafu asubuhi Muendeleze ! [emoji1][emoji1]
 
Mtoa mada upo sahihi.
Kwa kipimo kipi?

Ukisoma watu ambao huwa wanatukana humu ndani utagundua hawelewi Lugha za mtanzania.

Nasema hivyo kwa Uhakika wa hali ya juu, kwani nimekuwa nikiwafuatilia kwa miaka kumi na zaidi.

Watanzania waliokuwa wakijadiliana masuala mengi humu nyakati za nyuma, walikuwa hawatukanani matusi ya nguoni au yeyote yale ya Kumdhihaki na Kumvua utu mwenzake, kwa sababu walikuwa wakiheshimu Tamaduni na maadili yetu ya Kitanzania.

Badala yake, Watanzania walishauriana, walirekebishana na hata ikitokea, wame tofautiana, watayaweka bayana matofauti yao na kuombana misamaha kwa staha.

Huo ni utamaduni wa Mtanzania.
 
Lugha za Mtanzania ni zipi ambazo hao Watu wanaotukana wenzao humu hawaelewi!?
 
Tabia ya mtu haitokani na utaifa...katika kila Taifa wastaarabu wapo na watu wa hovyo wapo.
Watanzania wengi ni wa hovyo ingawa wastaarabu pia wapo. Vijana wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 90 ndio hawana ustaarabu kabisa, na kwa vile wao ndio wengi kwa population, basi majority ya watanzania ni wa hovyo katika kubadilishana maneno.
 
Kama watoto na wajukuu wetu wanaharibikiwa....sisi ndio wa kulaumiwa...
 
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Badala ya kutukanana, mtu nisipoelewana naye kiasi cha kukosa kabisa muafaka, nampeleka ignore list tu.

Anapoteza privilege ya kuwasiliana nami moja kwa moja.

Huo nao ni ustaarabu wa kukataa mazungumzo yasiyo na heshima, tija wala muelekeo.
 
Kuna ule utamaduni wa jumla, yaani wengi wanakuwa na tabia fulani. Kwa mfano nchi za Scandiavia hakuna wezi kwa wingi.
Nikweli mkuu, kuna kabila flani hapa nchini ukiwapigia simu kabla hata ya salaam tayari ulishaulizwa ulizwa wee nani, wee nani, mpaka kero, na kuna makabila mengine atakusikiliza shida yako mpaka mwisho kama hajakufahamu kupitia shida zako wishoni kabsa ndo anakuliza lkn wee nani mbona sijakufahamu.Sasa hao wakwanza usipomtajia jina lako atakata simu tena kwa ugonvi kabsa, hadi unajiuliza ugonvi unatoka wapi?
 
Badala ya kutukanana, mtu nisipoelewana naye kiasi cha kukosa kabisa muafaka, nampeleka ignore list tu.

Anapoteza privilege ya kuwasiliana nami moja kwa moja.

Huo nao ni ustaarabu wa kukataa mazungumzo yasiyo na heshima, tija wala muelekeo.
Kutokuendelea na maongezi au kubadili topic ndiyo njia ya kistaarabu sana ya ku-agree to disagree badala ya kutoleana matusi
 
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
SIlaha ya mjinga ni matusi elimu ndogo!
 
We mjinga nini😎
 
Back
Top Bottom