Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na ustaarabu katika kuongea

Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na ustaarabu katika kuongea

Ni kukosa ustaarabu na hekima. Mijadala sio vita na huwezi kujua vyote, hivyo lazima ukubali mawazo ya wengine hata kama hukubaliani nayo.

Binafsi nikiona mjadala unaelekea kubaya huwa naepusha shari, nakubali yaishe.
Tubaki tukiwa hatujakubaliana kistaarabu.
Na huu ndio uungwana, ila kuna watu wanafosi kuvuruga hali hiyo. Ni mwendo wa kuwaignore tu
 
AM sure haifiki 10%. Tena nao unakutana nao daily kwa kujirudia rudia. Yan kuna mahala umeji position mfano hapa JF unakutana na posts za watu wale wale kila siku halaf wewe unafikiri hao ndio watanzaniq (wote)
Kwani ni lazima kuzijua even numbers zote ili kujua tabia za even numbers?
 
Back
Top Bottom