KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Tanzania hakuna amani bali kuna utulivu......Taifa lenye amani ila wakazi wake wamevurugika kisaikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hakuna amani bali kuna utulivu......Taifa lenye amani ila wakazi wake wamevurugika kisaikolojia
Hahahahah mkuu so wewe unalowaza ni ishu ya wezi tuKuna ule utamaduni wa jumla, yaani wengi wanakuwa na tabia fulani. Kwa mfano nchi za Scandiavia hakuna wezi kwa wingi.
Absolutely 100%Tanzania ni moja ya nchi kitakwimu wananchi hawana furaha, ni maisha.
HakikaMtu aliyeamka vizuri
Mambo yake yanakwenda vizuri, ana utulivu wa nafsi
Hana stress zozote za maisha
Hawezi kutukana matusi .
Na hata huwa hajui wanaongea Nini ila tu akaingiliaNa ni kawaida mtu kukuta mazungumzo baina ya watu wawili baadaye akajiingiza kwenye mazungumzo yasiyomuhusu na wala hafahamiani nao.
Kichuguu, hakuna cha stress wala cha kuwa na maisha au kuwa na elimu ndogo!Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
tunajikuta black america eti na ujanja!Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Tatizo ni hiki chama chakavu mkuu...😜Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Humu jf wakikosa hoja za kujibu katika ushindani wataanza kukagua sentensi kama ulisahau nukta basi watatukana. Hiki kizazi cha kujisifia uchawa shida sana.Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
"If you look at their mode of life and their lifestyle in general, you can observe that blacks are born with the situation like an half-mad mentality and mindsets."Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Sikijua mkuu,kumbe unaweza kuongea katika maandishi?mi nadhanj kuongea katika maandishi ni nukuu tuHuku ni kuongea katika maandishi. Kwani kuongea ni lazima matamshi pekee? Nafikiri ujifunze aina za lugha mkuu.
Mjinga sio tusi Bali mtu asiyefahamu kitu flani na mpumbavu ni mjinga pro maxUkiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
ustaarabu sio taifa bali ni mtu mwenyeweNi kukosa ustaarabu na hekima. Mijadala sio vita na huwezi kujua vyote, hivyo lazima ukubali mawazo ya wengine hata kama hukubaliani nayo.
Binafsi nikiona mjadala unaelekea kubaya huwa naepusha shari, nakubali yaishe.
Tubaki tukiwa hatujakubaliana kistaarabu.
si ili kuwe giza ufanye yale mambo yakofuraha inatoka wapi mzee, em fikiria saa 12 asubuhi tu washakata umeme