We mjinga nini😎
Pia Elimu ya kujitegemeaTulikosea sana malezi baada ya Y2K; unatakiwa mkakati maalum wa kitaifa wa kuwajenga vijana wetu communication skills.
NakaziaNa ni kawaida mtu kukuta mazungumzo baina ya watu wawili baadaye akajiingiza kwenye mazungumzo yasiyomuhusu na wala hafahamiani nao.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Ni hasira tu za maisha zinafanya watu wanakuwa na chuki zisizokuwa na sababu na kutukana hovyoUkiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Kuwasiliana kwa maandishi/kuandika. Hakunaga kuongea kwa kuandikaHuku ni kuongea katika maandishi. Kwani kuongea ni lazima matamshi pekee? Nafikiri ujifunze aina za lugha mkuu.
Ahahahah.. Haya mambo bwana acha tu. Mostly hizi ni personal opinionsUtakuta huko nje wanasema bora watanzania
TUkubaliane, wakikata umeme , na sisi tukate nguzo. Maana wasifikiri na sisi hatujui kukatafuraha inatoka wapi mzee, em fikiria saa 12 asubuhi tu washakata umeme
Ni swala la communication skills. Whether unawasiliana kwa kuongea au kwa kuandika au kwa alama za vidole; bado ni mawasiliano tu. Watanzabia wanakimbilia sana matusiKuwasiliana kwa maandishi/kuandika. Hakunaga kuongea kwa kuandika
Kuongea ni kuongea na kuandika ni kuandika..Hiv ni vitu tofauti.
Katika aina zote za lugha hakuna aina hiyonya lugha , kuongea kwa kuandika
Sasa watanzania ulio interact nao hawafikia hata 10% how do u come up with this sort of generalization??Ni swala la communication skills. Whether unawasiliana kwa kuongea au kwa kuandika au kwa alama za vidole; bado ni mawasiliano tu. Watanzabia wanakimbilia sana matusi
Umejuaje kuwa pasenteji ya watanzania ninakutana nao ni 105 tu. Kwani unadhani mimi siyo mtanzania na hivyo sikumbani na mazungumzo baina ya watanzania katika maisha yangu?Sasa watanzania ulio interact nao hawafikia hata 10% how do u come up with this sort of generalization??
DahUkiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
AM sure haifiki 10%. Tena nao unakutana nao daily kwa kujirudia rudia. Yan kuna mahala umeji position mfano hapa JF unakutana na posts za watu wale wale kila siku halaf wewe unafikiri hao ndio watanzaniq (wote)Umejuaje kuwa pasenteji ya watanzania ninakutana nao ni 105 tu. Kwani unadhani mimi siyo mtanzania na hivyo sikumbani na mazungumzo baina ya watanzania katika maisha yangu?
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Siyo kweli.AM sure haifiki 10%. Tena nao unakutana nao daily kwa kujirudia rudia. Yan kuna mahala umeji position mfano hapa JF unakutana na posts za watu wale wale kila siku halaf wewe unafikiri hao ndio watanzaniq (wote)