Ni kukosa ustaarabu na hekima. Mijadala sio vita na huwezi kujua vyote, hivyo lazima ukubali mawazo ya wengine hata kama hukubaliani nayo.
Binafsi nikiona mjadala unaelekea kubaya huwa naepusha shari, nakubali yaishe.
Tubaki tukiwa hatujakubaliana kistaarabu.