ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Mkuu unasahau mbona vyombo vikubwa Duniani vililipoti tukio la Tundu Lissu kurejea nyumbani? Sema vyombo vya Tanzania ndo vilibanwa lakini haikusaidia nadhani taarifa ilifika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yea na kubrowse uzi wa kula tunda kimasikharaNdio matumizi ya simu yako au ??
Hizi simu mlitugawia bure? Ccm mna kiwanda cha simu? Utoto unakusumbua.Serikali ya CCM HAIJAFANYA KITU. Sasa hao wananchi hizo smartphones, WhatsApp na Twitter wanazitoa wapi hapa Tanzania?
Lumumba lazima mtage mwaka huu. Huyo ndo Lissu.Hata mtumie radio call chadema Ni losers
Safi kabisa ninani asiyemjua Lissu mpaka sasa alivyonusulika kuuwawa na wakora wa Ccm?Hata wasiporusha habari za lissu tunazipata instantly na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii na pia huku mtaani tunawapa elimu wasio na access na internet/mitandao.
Kwani kazaliwa Leo si yupo miaka yote hapo Cha Domo auLumumba lazima mtage mwaka huu. Huyo ndo Lissu.
Hajazaliwa Leo ila anawapa shida hadi mwaka 2017 mliamua kumpiga tu risasiKwani kazaliwa Leo si yupo miaka yote hapo Cha Domo au
Kuwa muwazi tu,lisu anamsindikiza magufuli sema sio mbaya nae atakuwa kwenye list ya wasindikizajiHajazaliwa Leo ila anawapa shida hadi mwaka 2017 mliamua kumpiga tu risasi
Amini maneno yangu. Lissu ni raisi wako wa Jamhuri ya muungano Tanzania baada ya uchaguzi wa October 2020Kuwa muwazi tu,lisu anamsindikiza magufuli sema sio mbaya nae atakuwa kwenye list ya wasindikizaji
Angekuwa anamsindikiza, mngezuia habari zake kuripotiwa?Waoga tu nyie!Kuwa muwazi tu,lisu anamsindikiza magufuli sema sio mbaya nae atakuwa kwenye list ya wasindikizaji
Wanatafuta ajira hivyo lazima watapiga kura .Nimependezwa na maelezo yako lakini mimi sina mengi nakukumbusha kuwa wanaomiliki smartphone kwa wingi ni vijana ambao kiukweli wanapata sana taarifa lakini haohao ndio hawapigagi kura hivyo amini nakueleza kutumia mitandao
Usijidanganye sisi vijana tunajijua wenyewe sisi hatupigagi kura watu wazima na wazee ndio wanaojazana kupiga kura haswa wanawake tuwe wakweliWanatafuta ajira hivyo lazima watapiga kura .
Ngumu kumesa,alishindwa gwiji la siasa mwenye mvuto akiongea Ni maneno matatu tu chini ya mwamvuli wa ukawa, halafu ashinde huyo mropokaji traitor lisu? Ndio maana mkaambiwa upinzani (uchwara) [emoji23][emoji1787][emoji2960]Amini maneno yangu. Lissu ni raisi wako wa Jamhuri ya muungano Tanzania baada ya uchaguzi wa October 2020
Tukutane OctoberNgumu kumesa,alishindwa gwiji la siasa mwenye mvuto akiongea Ni maneno matatu tu chini ya mwamvuli wa ukawa, halafu ashinde huyo mropokaji traitor lisu? Ndio maana mkaambiwa upinzani (uchwara) [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Maneno yako ya mwisho yamedhihirisha upande uliopo na uliokusukuma kuandika uliyoyaandikaHahahaaaa ulishajiuliza Tanzania ni mambo gani au vitu gani vinafatiliwa au kugoogle sana kwenye Internet ?utashangaa sana nikwambie kitu watanzania hawafatilii siasa kwenye mitandao ni asilimia chache sana hata ukifanya utafiti utagundua ni Twitter tu ndo wanafatilia siasa but sehemu au mitandao mingine nadhani unajua nn kinafatiliwa sasa jiulize Twitter ni watanzania wangapi wana account huko??
Tanzania bado main stream media(TV,Magazeti,Radio) bado zinanguvu sana na bado zinafatiliwa na watu wengi kwa sababu kupata taarifa huko ni free au cheap kulinganisha na mitandaoni ambapo lazima uwe na bando kitu ambacho mtu wa mikoani hawezi kununua GB 4 eti kumuangalia Tundu Lissu akiutubia You tube nazungumzia nchi kwa ujumla si mijini tu CCM si wajinga kuwabana huko wanajua nini wanafanya hapa ungewashauri wafungue vyombo vyao vya habari kama Radio na TV ambazo watakuwa na mamlaka navyo hata kwa wenzetu ambapo Dunia imeamka bado TV ,Magazeti na Radio zina nafasi kubwa sana ktk Ulingo wa kupashana habari pia kwa mfumo uliopo ni mpumbavu pekee anayeweza kusema Lissu au upinzani utachukua nchi ktk miaka hiii 10 au 15 ijayo bado sana .
And they will always be.Hata mtumie radio call chadema Ni losers