uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Huu uzi utanitia burn ni bora niwe offline.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hunan hoja za kujibu sasa unafikiria kutumia lugha zisizofaa.Huu uzi utanitia burn ni bora niwe offline.
Unapozungumzia social media unatakiwa kujua ni mitandao gani watu wanafatilia hasa hapa Tanzania pia ukizungumzia maandamano ya kuwatoa watawala mfano uarabuni si social media pekee kwa maana kuna nguvu ya watu na baadhi ya mataifa pia main stream media kama CCN,BBC nk walikuwa wanayatangaza sana kitendo cha kutangaza watu wengi wanajua Social media kuacces ni gharama tofauti na main stream media (Radio ,TV na magazeti)Maneno yako ya mwisho yamedhihirisha upande uliopo na uliokusukuma kuandika uliyoyaandika
Usisahau kuna nchi zilifanya maandamano ya kuondoa watawala kwa kutumia nguvu ya social media, na hata hapa Bongo tishio la maandamano ya Mange lililonyima watawala usingizi liliratibiwa mitandaoni hivyo usijidanganye hata kidogo.
Wenyewe mamlaka wenyewe wanakesha mitandaoni kufuatilia nini kinajiri alafu wewe anakuja na porojo zako hapa.
Jiulize ni kwanini kuna mtu anatamani malaika aje lazima mitandao ndio utajua hofu walionao.
Kwa hiyo hata chupi tunazovaa ni bashite katununulia? Mwisho mtatuaminisha hata chooni tunakwenda Kwa hisani jiweya CCM HAIJAFANYA KITU. Sasa hao wananchi hizo smartphones, WhatsApp na Twitter wanazitoa wapi hapa Tanzania?
Ahahahahahahaha! Mkiwa mnaongea muwe mnatumia akiliswali la kijinga sana !
Mbona mnajichanganya? Acheni kutumia akili za nyumbu. Anyway, Serikali ya CCM chini ya JPM inakamilisha Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power. Kila mtu atapata umeme. Ila ninyiUna mtzamo duni sana.Elewa tu,hali ingekuwa nzuri,hata huko vijijini karibu kila mtu angekuwa anamiliki smartphone akiwa na uhakika wa kuwa na umeme wa kuichaji.
Jibu lako linawaaibisha wenzako. Toli Muhaya iwe oli Mushuti!Hizi simu mlitugawia bure? Ccm mna kiwanda cha simu? Utoto unakusumbua.
Maendeleo YOTE katika nchi hii yameletwa na Serikali zilizokuwepo na iliyopo madarakani. Kwani hizo nguo zako za ndani zingezalishwaji au kuletwaje toka nje kama Serikali haijaweka mazingira ya kufanya hivyo?Kwa hiyo hata chupi tunazovaa ni bashite katununulia? Mwisho mtatuaminisha hata chooni tunakwenda Kwa hisani jiwe
Mie siku hizi hata magazeti nimeacha kusoma kabisa baada ya kugundua kuwa wahariri karibia wote wanaandika kwa kuwafurahisha waliopo madarakani...Kabla nilikuwa sipitishi siku bila kusoma gazeti mbili tatu ... TV nimebakiza kuangangalia mpira tu LiveKwa wake wanaodhani kuwa kudhibiti vyombo vya habari kuripoti habari za wapinzani kutawasaidia, wajue tu wanajidanganya kwani hivi sasa watanzania wengi wanamiliki smartphone hasa maeneo ya mijini, hivyo watazitumia kupashana habari za uchaguzi zikiwemo habari za wapinzani.
Lissu kasema wametishwa kuripoti habari zake na kwamba wanamuogopa mtu mmoja ila akaongeza kuwa ,watu sasa watutimia WhatsApp kupashana habari za uchaguzi.
Ukweli ni kwamba,Lissu kataja WhatsApp kama mfano tu, ila watu watatumia Facebook,Instagram, Twitter na mitandao mingine kama huu wa JamiiForums kusambaza na kupashana habari za nini kitakachokuwa kinajiri kwenye mkutano ya kampeni ya wapinzani hata kama watu wa TV na magazeti hawataripoti.
Uzuri wa haya mambo ni kuwa,watu wakipuuza hizi media,hata like kitakachokuwa kinaripotiwa na hizi media pia nacho kitapuuzwa, hivyo wataopata hasara ni hao watakaokuwa wanategeme hizi media ziwabebe.
Wao waendelee tu kujidanganya wakati watu Siku hizi wameanza kutegemea social media zaidi kama chanzo cha kupata habari huku mainstream media zikibaki kutumika kwakuwa tu ziko majumbani mwetu.
Siku hizi watu wanasikiliza habari kwenye tv huku teyari wana taarifa za matukio karibu yote ya siku husika tena taarifa hizo wakizipata pasipo kuchujwa ili kumsitiri mtu au kuficha baadhi ya mambo.
Mfano mzuri ni ujio wa Lissu ambao ulitangazwa zaidi kupitia social media lakini karibu kila mtu alikuwa na taarifa na alipokelewa na watu wengi utadhani tukio husika liliitangazwa na vyombo vikubwa vya habari mwezi mmoja kabla.
Labda yule Malaika wa kuzima mitandao ashuke ndio itakuwa ponepone yao ingawa nae anaonekana kukwama huko mawinguni.
Imekula kwao mwaka huu.
Lumumba mlisema upinzani umekufa sasa leo mnatapata tuwaeleweje au tatizo ni uwezo mdogo mlionao ndio unawagharimu?Mbona mnajichanganya? Acheni kutumia akili za nyumbu. Anyway, Serikali ya CCM chini ya JPM inakamilisha Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power. Kila mtu atapata umeme. Ila ninyi
Kwani upo? Sasa hivi kuna White Elephant Opposition in Tanzania. Kitendo cha Lissu kuwa mgombea urais ni kiashirio tosha kabisa kwa kufa upinzani Tanzania.Nyumbu wa Lumumba mlisema upinzani umekufa sasa leo mnatapata tuwaeleweje au tatizo ni uwezo mdogo walionao kama nyumbu ndio unawagharimu?
Hiyo miradi sio issue ya kufanya watanzania wajinga tutaona miradi hiyo ihalalishe utekaji,utesaji, mauji, kunyima watu haki zao,kutesa watumishi wa umma,kusimanga wananchi majukwaani mfano wahanga wa tetemo Kule Bukoba, n.k
Mnamuogopa mpaka mnazuia habari zake zisitangazwe. Aibu sana hii!Kwani upo? Sasa hivi kuna White Elephant Opposition in Tanzania. Kitendo cha Lissu kuwa mgombea urais ni kiashirio tosha kabisa kwa kufa upinzani Tanzania.
TUKUTANE OKTOBA 28!
Ungelikuwa ungerusha kitu gani cha maana alichoongea tangu aanze kizunguka nchi? Nipe moja.Hovyo kabisa!Mnamuogopa mpaka mnazuia habari zake zisitangazwe.Aibu sana hii!
Anaeongea ya maana ni yule anaemtafutia mzazi wake Bwana?Ungelikuwa ungerusha kitu gani cha maana alichoongea tangu aanze kizunguka nchi? Nipe moja.
Ningeshangaa kama ungenipa mfano hata mmoja. Sasa, kama wewe umeshindwa, hivyo vyombo unavilalamikia vya nini? By the way, nimesikia yule rafiki yake Lissu Seneta wa Seneti ya Marekani ambaye ni shoga atakuwepo siku ya uzinduzi wa kampeni zake! Hapo vyombo vitarusha tu! Ahahahahahahahaha! Nasubiri ban!Anaeongea ya maana ni yule anaemtafutia mzazi wake Bwana?
Mbebaki na propaganda za kijinga na kipuuzi tu hamna lolote!!Ningeshangaa kama ungenipa mfano hata mmoja. Sasa, kama wewe umeshindwa, hivyo vyombo unavilalamikia vya nini? By the way, nimesikia yule rafiki yake Lissu Seneta wa Seneti ya Marekani ambaye ni shoga atakuwepo siku ya uzinduzi wa kampeni zake! Hapo vyombo vitarusha tu! Ahahahahahahahaha! Nasubiri ban!
Kwani sisi ndio tulipost picha wakiwa pamoja? Ahahahahahah!Mbebaki na propaganda za kijinga na kipuuzi tu hamna lolote!!
Wanajidananya tu......Ni muhimu sana in the future Chadema waanzishe TV yao kama CCM wanavyomiliki Channel Ten na TBCCM.Safi kabisa ninani asiyemjua Lissu mpaka sasa alivyonusulika kuuwawa na wakora wa Ccm?