Uchaguzi 2020 Watanzania wengi sasa wanamiliki smartphone ili kupashana habari za uchaguzi hasa zinazohusu wapinzani

Unapozungumzia social media unatakiwa kujua ni mitandao gani watu wanafatilia hasa hapa Tanzania pia ukizungumzia maandamano ya kuwatoa watawala mfano uarabuni si social media pekee kwa maana kuna nguvu ya watu na baadhi ya mataifa pia main stream media kama CCN,BBC nk walikuwa wanayatangaza sana kitendo cha kutangaza watu wengi wanajua Social media kuacces ni gharama tofauti na main stream media (Radio ,TV na magazeti)

Kuhusu Tanzania mtandao wenye wafwasi wengi ni IG na kidogo FB yamwisho ni Twitter ambapo huko ndo 90% kinaongelewa siasa sasa je Twitter kuna watanzania wangapi huko? Badoo Tanzania ina watu wengi kuliko hata Twitter haya makundi ya Whats app huko kwanza ndo vituko kwanza yana limit ya watu pili si public ambapo unaitaji uwemo kwenye ilo group ndo uone taarifa ya ilo group

Mm ningewashauri wekezeni kwenye Main stream media coz huko ndo watu watapata taarifa kwa haraka nchi nzima ukienda sehemu nyingine hata social media hawajui lakini taarifa ya habari wanasikiliza na kuangalia kingine Chadema nyinyi ndo chama cha kwanza kuingia kwenye Digital media na nyinyi ndo chama cha kwanza kufaidika na Digital media lakini hamkuwekeza huko sasa CCM wameshaona weekness yenu upande wa Digital wao wanawekeza soon watawa out smart kwenye upande huo.
 
ya CCM HAIJAFANYA KITU. Sasa hao wananchi hizo smartphones, WhatsApp na Twitter wanazitoa wapi hapa Tanzania?
Kwa hiyo hata chupi tunazovaa ni bashite katununulia? Mwisho mtatuaminisha hata chooni tunakwenda Kwa hisani jiwe
 
Una mtzamo duni sana.Elewa tu,hali ingekuwa nzuri,hata huko vijijini karibu kila mtu angekuwa anamiliki smartphone akiwa na uhakika wa kuwa na umeme wa kuichaji.
Mbona mnajichanganya? Acheni kutumia akili za nyumbu. Anyway, Serikali ya CCM chini ya JPM inakamilisha Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power. Kila mtu atapata umeme. Ila ninyi
 
Kwa hiyo hata chupi tunazovaa ni bashite katununulia? Mwisho mtatuaminisha hata chooni tunakwenda Kwa hisani jiwe
Maendeleo YOTE katika nchi hii yameletwa na Serikali zilizokuwepo na iliyopo madarakani. Kwani hizo nguo zako za ndani zingezalishwaji au kuletwaje toka nje kama Serikali haijaweka mazingira ya kufanya hivyo?
 
Mie siku hizi hata magazeti nimeacha kusoma kabisa baada ya kugundua kuwa wahariri karibia wote wanaandika kwa kuwafurahisha waliopo madarakani...Kabla nilikuwa sipitishi siku bila kusoma gazeti mbili tatu ... TV nimebakiza kuangangalia mpira tu Live
 
Mbona mnajichanganya? Acheni kutumia akili za nyumbu. Anyway, Serikali ya CCM chini ya JPM inakamilisha Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power. Kila mtu atapata umeme. Ila ninyi
Lumumba mlisema upinzani umekufa sasa leo mnatapata tuwaeleweje au tatizo ni uwezo mdogo mlionao ndio unawagharimu?

Hiyo miradi sio issue ya kufanya watanzania wajinga tutaona miradi hiyo ihalalishe utekaji,utesaji, mauji, kunyima watu haki zao,kutesa watumishi wa umma,kusimanga wananchi majukwaani mfano wahanga wa tetemo Kule Bukoba, n.k
 
Kwani upo? Sasa hivi kuna White Elephant Opposition in Tanzania. Kitendo cha Lissu kuwa mgombea urais ni kiashirio tosha kabisa kwa kufa upinzani Tanzania.

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Kwani upo? Sasa hivi kuna White Elephant Opposition in Tanzania. Kitendo cha Lissu kuwa mgombea urais ni kiashirio tosha kabisa kwa kufa upinzani Tanzania.

TUKUTANE OKTOBA 28!
Mnamuogopa mpaka mnazuia habari zake zisitangazwe. Aibu sana hii!

Kazi kubebwa tu!!
 
Anaeongea ya maana ni yule anaemtafutia mzazi wake Bwana?
Ningeshangaa kama ungenipa mfano hata mmoja. Sasa, kama wewe umeshindwa, hivyo vyombo unavilalamikia vya nini? By the way, nimesikia yule rafiki yake Lissu Seneta wa Seneti ya Marekani ambaye ni shoga atakuwepo siku ya uzinduzi wa kampeni zake! Hapo vyombo vitarusha tu! Ahahahahahahahaha! Nasubiri ban!
 
Watanzania wasio na pesa wanaolala njaa wanatoa wapi pesa za smartphones na bundles sikuhizi?

Au pesa za uchumi wa kati?
 
Mbebaki na propaganda za kijinga na kipuuzi tu hamna lolote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…