Watanzania wengi wafupi mno

Watanzania wengi wafupi mno

Aisee, wahenga walisema "Unene na wembamba ni juhudi zako za kula ila urefu na ufupi ni mipango ya mwenyezi Mungu.

Andunje na waheshimiwe na watu wote.
Si kila ufupi ni mipango ya Mungu. Lishe bora kwa maana ya milo mitatu kamili kila siku huchangia sana katika kimo cha mtu. Wengi wetu Tz hatupati milo kamili na ya kutosha tunapokuwa katika hatua ya ukuaji. Nenda mashuleni ushuhudie vitoto vidogo vinashinda na njaa toka asubuhi hadi jioni. Vikiwa na Mzazi mwelewa au mwenye kujiweza ndiyo angalau vitakuwa na hela angalau ya mihogo mchana. Na havili vikashiba maana marafiki wataomba wee hadi vinaishia kula kakipande kamoja ka muhogo. Hapo tusitegemee kuwa na taifa la watu wenye vimo muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tule nini maana naona mnaponda kula mbegu pamoja na mihogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah watu wafupi hawachepukagi e?
Generally wanawake wengi wana Low regard kuhusu wanaume wafupi. Wanapendelea wanaume matolu. Tena wengi hupenda hata akivaa High heels asimzidi Mwanaume wake. Ili ajiskie salama zaidi.
But
Wanaume wafupi wanajua kupachika mimba sana. Ukigusa tu, imenasa!. Na wengi huamini heshima yao itapatikana kutokana na idadi ya wanawake watakaowalala.

Zipo Variables zinazopelekea wadada kujikuta wanaangukia kuliwa na wanaume wafupi.

Mf. Wanaume warefu huaminika kua wanaringa nk.

Ila wapo wanawake warefu ambao wanapendelea wanaume wafupi tu...ni vile interests za mtu zilipo au sa zingine moyo ulipoangukia tu

Mie najuaga wanaume weupe ndio huwa wanaringa
 
Kuna jamaa flani hivi tulikuwa tunasoma nao kidato wafupi balaa, harafu wanapenda sifa kwa mademu.
Sasa kuna jamaa siku kawafuma wamekaa mahali wanaulizana, eti mwanangu sisi kwanini wafupi? Mwenzie kinyonge anajibu daaaah... Yaaani na mimi hata sijui why tuko hivi..[emoji3][emoji3]

Mmoja huwa nabaatiga kukutana nae mara nyingi kafuga nywele ndefu balaa yaani anabuna moja matata sana kama nchi 6 hivi. Yule jamaa tangu nasoma nae alikuwa hapendi kabisa tuongozane pamoja.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
WATU WAREFU MARA NYINGI SANA HUWA HAWANA AKILI AKILI ZAO KAMA WATOTO HALAFU WANAZEEKA HARAKA NA KWENYE KAZI WANACHOKA SANA PIA JUA LINAWACHOMA SANA NDIO MAANA AKILI ZAO NDOGO
 
Kimo cha mtu hakina mahusiano na Akili za mtu.. Kazi zipi unaongelea Kumwaga zege au?
WATU WAREFU MARA NYINGI SANA HUWA HAWANA AKILI AKILI ZAO KAMA WATOTO HALAFU WANAZEEKA HARAKA NA KWENYE KAZI WANACHOKA SANA PIA JUA LINAWACHOMA SANA NDIO MAANA AKILI ZAO NDOGO

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Ila wapo wanawake warefu ambao wanapendelea wanaume wafupi tu...ni vile interests za mtu zilipo au sa zingine moyo ulipoangukia tu

Mie najuaga wanaume weupe ndio huwa wanaringa
Wanaume weupe, nao wana high electron affinity(Chemistry language). Wanavutia mademu wengi hadi mashuga mami. Wana kila sababu ya kuringa. Maana hawatumii nguvu kupata mzigo wa kula.
Ni kama walivyo mademu weupe. .
Na Ndio maana wakati fulani wanawake weupe wanashindwa kukaa chungu kimoja na wanaume weupe. Maana wote wanajiona ma-star.
Wanawake weupe pia huaminika kua wanaringa pia. Wengi huishia kulambwa na kuzalishwa na watu wa ajabu ajabu sana. Na hujipa moyo kua ni 'Love'. Lakini deep inside Mungu ndiye anayejua. Like Uwoya Love story.
Na wanawake weupe wengi huwafanya wanaume weusi au wabaya kuishi roho juu.

Kwa wanaume weupe, sometimes wengi inakua sio kuringa bali kukosa kujiamini tu. Maana wanajihisi wanalazimika kua bora zaidi ya walivyo. Inawafanya kuishi kwa hofu..maana hawana uhakika na potentiality zao.

Ukishajijua wewe ni 'black' inabidi 'u-behave' maana... Ni rahisi kupigwa chini na watoto wakali.

Ni kweli kabisa ulichokiandika
 
Shida sio kuwa mfupi shida ni mtu kushindwa kukua mpaka kimo anachostahili. Unadumaa sio kimwili tu hata kiakili pia. Tuwape lishe ya kutosha watoto wetu hasa hasa zile siku 1000 za mwanzo, protein iwe ya kutosha hapa msijibane watoto wenu waweze kufikia vimo wanavyostahili.
 
Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.

Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu.

Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzia.

Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.

Nb:samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.

Hebu vuka hapo Boda - sogea tu hapo Kigali - ukapate watoto wa Kitutsi - ili kama wewe ni Mfupi, upande mbegu ndefu za Kitutsi.
 
Nilikuwa na ki baby kianduje yan mother ilikiwa full bifu,hakipendi hata kidogo,kalikuwa kakimuona bi mkubwa kanakimbia ,alikuwa anakatukana eti usiniharibie mwanangu, wakati mimi ndo nilikuwa mkubwa kenyewe kadogo ,nakazidi umri hadi kimoo

Akija kwangu ananiambia ,usituletee mbegu za ajabu kwetu hakuna wafupi,mkizaa litoto lenu silibebi,basi nachukia vibaya,nilikapenda na kenyewe kalinipenda,
Niliachana nako baada ya kwenda jeshini op uzalendo ikatutenganisha,ila hata huko nilikutana na kianduje kengine,A coy combania ya demo mambo yakawa full tena,mm na vianduje dam dam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule ndio kuna warembo haswa...mimi nimefanana nao watu wa kule, kasoro pua tu.

Back
Top Bottom