Salange
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 680
- 644
Si kila ufupi ni mipango ya Mungu. Lishe bora kwa maana ya milo mitatu kamili kila siku huchangia sana katika kimo cha mtu. Wengi wetu Tz hatupati milo kamili na ya kutosha tunapokuwa katika hatua ya ukuaji. Nenda mashuleni ushuhudie vitoto vidogo vinashinda na njaa toka asubuhi hadi jioni. Vikiwa na Mzazi mwelewa au mwenye kujiweza ndiyo angalau vitakuwa na hela angalau ya mihogo mchana. Na havili vikashiba maana marafiki wataomba wee hadi vinaishia kula kakipande kamoja ka muhogo. Hapo tusitegemee kuwa na taifa la watu wenye vimo muafaka.Aisee, wahenga walisema "Unene na wembamba ni juhudi zako za kula ila urefu na ufupi ni mipango ya mwenyezi Mungu.
Andunje na waheshimiwe na watu wote.
Sent using Jamii Forums mobile app