Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Kujenga Nyumba yako Ni maendeleo. Au wewe neno "maendeleo" maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuongeza kipato chako ni maendeleo na si kujenga nyumba. Hata nchi inachukuliwa imeendelea kama kipato chake kimeongezeka.Kujenga Nyumba yako Ni maendeleo. Au wewe neno "maendeleo" maana yake nini?
Jambo muhimu kwa binadamu ni kuwa na kipato kitakacho muwezesha kulala,kula,kuvaa vizuri ,kusomesha watoto na kupata matibabu mazuri basi ,mengine ni ziada tu.
Kwa nchi za wenzetu usafiri wa umma kwa maana wa hizi bus za mwendokasi na treni upo vizuri sana na wana enda kwa mda, kama kila baada ya dk tano gari/treni inafika basi hua hivyo kila baada ya dk 5.Tatizo ni kwamba watz wengi tunafocus kwenye kuongeza liabilities yaani vitu vinavyotoa hela mfukoni kama gari na nyumba na si kwenye kuongeza assets.
Wew unaona ipo wap?Tofauti ya kujenga nyumba na kujenga mahali pakujisiri tofauti ipo wapi?
Sio lazima malengo yetu yafanane..Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Of course gari lina umuhimu wake. Ila hakikisha una uwezo wa kulihudumia hilo gari kabla ya kununua.Kwa nchi za wenzetu usafiri wa umma kwa maana wa hizi bus za mwendokasi na treni upo vizuri sana na wana enda kwa mda, kama kila baada ya dk tano gari/treni inafika basi hua hivyo kila baada ya dk 5.
Ila kwetu huku daah mwendokasi ni Kero mwanzoni watu walikuwa wanapaki magari nyumbani sababu,mwendokasi ulikuwa upo vizuri kwani walikuwa hawakai sana kituoni na hawabanani.
Ila miaka ya hivi karibuni daah,unaweza kukaa kituoni mpaka lisaa,mpangilio wa kuanzi abiria wanavyo kaa kwenye foleni na mabasi Kuwasili umebadilika,sometimes unaweza kukaa hata lisaa kituoni. So gari binafsi bado lina umuhimu wake. Juzi nimeangalia Saudi wamezindua treni yao ya umeme, full automated na haina driver.Mashekh na hela zao wamepaki magari yao home,sababu mda wa kusafiri kuelekea kwenye shughuli zao umepungua mno na hawabanani,ila huku kila siku unaongezeka,watu wana minyana mpaka wengine wanaishiwa nguvu na kumbuka time is money.
So ukiwasikiliza watu wa nje wanakuambia hawaoni umuhimu wa kumiliki gari au kwenda ofisini na gari sababu, usafiri wa uhakika,unaotumia mda mfupi kufika kazini upo ila kwetu, gari utalihitaji tu kama upo vizuri kiuchumi na hupendi kero.
Huu mradi wa mwendokasi kama ungekuwa na magari ya kutosha na wagekuwa wanaenda na muda watu wengi wa dar wangepaki magari na foleni zingepungua kiasi kikubwa sana na ndio lengo la miradi hii kwa nchi za wenzetu zilizo endelea.
Gari bado lina umuhimu wake.
Anasema sidaiwi kodi naishi raha mustareheee"Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Blood akili kubwa 👊Watu wenye akili za kitajiri wanatumia pesa kuongeza pesa, Akili ya kimasikini anatumia pesa kuonekana ana pesa.
Mfano hawa watu wawili wanaweza fanya kazi kwenye kampuni moja wote wakachukua mshahara wa laki5.
Mwenye akili ya kimasikini atakimbilia appartment, TV, sofa kali, Simu kali, Mavazi classic ili wengine wamuone anazo na ndiyo utakua mfumo wake forever.
Mwenye akili ya kitajiri atakimbilia kuwekeza aidha kilimo, ufugaji au biashara hata kama biashara ndogondogo huku akiamini siku1 atanunua kila anachokitamani bila kuathiri kipato.
View attachment 3190843
Rich sio muajiliwa lakiniKwenye maisha focus kuwa wealthy na sio rich.
Wealthy ni uwezo wa mtu kuingiza hela hata kama akilazwa hospitalini mwezi mzima au hata kama akifukuzwa kazi.
Richness ni hali ya mtu kumiliki vitu kama majumba, magari na vitu vingine vya thamani. Wapo rich people ambao wakifukuzwa kazi basi hawawezi kusurvive kwasababu hawakuweka mazingira ya kuwa wealthy.
Jibu zuri sana. Hongera sanaNapinga hoja zako hazina mshiko..
Sababu ukizidi kutafuta pesa kwa nguvu huenda ukaishia gerezani na hiyo nyumba wakalalia wengine.
Nashauri kwamba ukizidi kupata mafanikio especially kwa kazi za kurisk maisha basi unapaswa upunguze kasi ili usiishie pabaya..
Issue ni kwamba watanzania asilimia kubwa wanajenga kwa kujibana sana ndio mana akishajenga tu atanza kujiachia na kitambi juu mwisho wa siku anapata kisukari anadanji ndugu wanagombania ka mjengo kinatiwa sokoni.Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.