Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

Nyumba ni Liability kama ndoto zako ni kumiliki nyumba kwaajili ya kuishi amka amka kumekucha....

Sikuhz tunajenga nyumba alafu tunaifanya ya biashara/ nunua viwanja weka kama assets sio kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi matajiri sikuhz tunaishi kwenye apartments na nyumba zako unapangisha 😁
Nyumba ni liability kwa context ya ulaya; kwa Tanzania ni asset; tena ni asset kubwa sana.
 
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.

Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Nyumba yenyewe unajenga miaka kumi na ushee na unaishia kuhamia haijakamilika.

Hapo imagine umekabiliana na kuoa, watoto wanazaliwa, unasomesha mpaka unahamia first born yupo form four unategemea hapo unabaki na ndoto gani nyingine hapo ndio ushaingia miaka 40 na ushee zaidi unabakia kusomesha watoto tu na hela ya kula na uanzishe kamradi hata ka kifuga kuku ili upate hela ya kula na vile wanawake zetu hawawezi kusapoti kazi yao kula na kunya ana vikoba vya kujinunulia nguo mpya tu basi ndio ujue unalo hilo mpaka baba mkwe akifa unapaswa kugharamika kumzika kwao na mashemeji wanakuangalia vile familia zetu za kiafrika tunajuana tu.

Ni shida tupu mwishowe unaona heri hata watoto umeeaachia hata pa kuishi wapate pa kianzio cha muhimu wana elimu then wapiganishe mbele kwa mbele huko na kama una watoto wa kike wakikaa kijanja wataolewa huko mbeleni watajijua.

Life gumu sana kuishi ndoto zako jomba.
 
Anza kujenga ndo utaelewa ni liability... ujenzi hauishii mpaka mjukuu wako ataendelea kuijenga nyumba yako kipindi hko inaitwa nyumba ya familia 😂
Shida watanzania wengi Kayosaki Anatuharibu. Nyumba ni asset ndugu yangu; interns of investment…. A good or bad asset ni perspective tu; soma kidogo hapa pia:
 
Emb ni

Emb nipe mfano wa nyumba ambayo thamani yake imepanda mfano umejenga nyumba mwaka 2000 sasahv thamani yake ni kubwa 2025 ila kiwanja cha 2000 sio sawa na cha 2025 value

A home does not generate assets since you have to pay payments, taxes and maintenance on them so therefore it is a liability.
 
Anza kujenga ndo utaelewa ni liability... ujenzi hauishii mpaka mjukuu wako ataendelea kuijenga nyumba yako kipindi hko inaitwa nyumba ya familia 😂
Tujifunze kudigest vitu vilivyo kwenye contexts zetu; mambo mengi Bado ni conventional ndugu yangu.

Mfano ili upate Mkopo wa Biashara Bado banks zinahitaji Collateral na Mara nyingi ni Nyumba; halafu wewe unasema Nyumba ni Liability??

Hapa Tanzania Ardhi na Nyumba Zina appreciate over time from time to time; halafu useme ni liability???

Kwa Mfano Dar, Nyumba yenye vyumba 3 (inayojitegemea) ni laki 3 hadi 5, Kama ni laki 5 per year ni 6M ukirent kwa miaka 7 ni 42M (bila ku include costs za inflation na appreciation), then ukijenga Nyumba yako ya 70M na ukaishi humo msomi mmoja anakuambia ni liability?? Anataka ukapange 😂Come on….
 
Emb ni

Emb nipe mfano wa nyumba ambayo thamani yake imepanda mfano umejenga nyumba mwaka 2000 sasahv thamani yake ni kubwa 2025 ila kiwanja cha 2000 sio sawa na cha 2025 value

A home does not generate assets since you have to pay payments, taxes and maintenance on them so therefore it is a liability.
so what you imply is renting a house for you is an investment while owning your own house becomes a Liability??? You need to be serious???
 
Tujifunze kudigest vitu vilivyo kwenye contexts zetu; mambo mengi Bado ni conventional ndugu yangu.

Mfano ili upate Mkopo wa Biashara Bado banks zinahitaji Collateral na Mara nyingi ni Nyumba; halafu wewe unasema Nyumba ni Liability??

Hapa Tanzania Ardhi na Nyumba Zina appreciate over time from time to time; halafu useme ni liability???

Kwa Mfano Dar, Nyumba yenye vyumba 3 (inayojitegemea) ni laki 3 hadi 5, Kama ni laki 5 per year ni 6M ukirent kwa miaka 7 ni 42M (bila ku include costs za inflation na appreciation), then Nyumba yako ya 70M msomi mmoja anakuambia ni liability?? Come on….
Asante kwa kunielewa 😁 that’s my point tatzo lako ni kutokusoma kwa makini... jenga nyumba pangisha usijenge nyumba ili uishi humo hyo ni liability nenda kakae apartment nunua viwanja fanya assets hapo umenielewa
 
No no no; ninamaanisha kujenga na kuishi kwenye hiyo nyumba. soma na kuelewa; hiyo nimefanya comparison tu Kati ya costs za kujenga na kupanga. (Kupanga costs ni kubwa)

Mimi ninaamini nyumba ya Kuishi kwa context ya Africa ni asset kwa hoja nilizozieleza hapo.
 
Tatizo ni kulazimisha kila mtu aishi maisha unayo ishi ww bila kujua kuwa kila mtu ana ana tafisri yake kuhusu Maendeleo na kile kinacho mpa furaha.
 
No no no; ninamaanisha kujenga na kuishi kwenye hiyo nyumba. soma na kuelewa; hiyo nimefanya comparison tu Kati ya costs za kujenga na kupanga. (Kupanga costs ni kubwa)

Mimi ninaamini nyumba ya Kuishi kwa context ya Africa ni asset kwa hoja nilizozieleza hapo.
Basi kama ndo hvyo bado unajichanganya me point yangu ipo hapo kwa huyo aliye kupangisha wewe ukapata hesabu ya 47 kwa miaka 7 angeishi yeye hyo pesa asingeipata hapo umenielewa?
 
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.

Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Kabisa boss,
Wabongo tupo less ambitios sanaaa,
Mtu akiweza jenga, akawa na kagari, basi hapambani sana tena, anavuta mke anaanza pambania hela ya kula tu,
 
Back
Top Bottom