Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.

Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Maendeleo ni Nini?
 
Usitegemee ujenge nyumba ya Millions 30 kwaajili ya wew kuishi na hyo hela ikarudi hairudi ng’o
Zipo familia zinateseka na kudhalilika sababu ya kuishi familia kubwa vyumba viwili au kimoja cha kupanga kutokana na ukosefu wa kipato. Watu wa aina hii wakipata pesa na kujenga nyumba watatue changamoto hii watakuwa wamekosea?
 
Ana nyumba zinazomwingizia kipato.
Maana yake alianza kuwa na nyumba ya kuishi baadae akaongeza nyumba kwa kuzifanya kuwa assets. Ni ngumu kwa Tz kuanza nyumba ya biashara kwanza kama Kuna factors kama vile family size na aina ya kipato
 
Soma kitabu chake cha RICH DAD POOR DAD . Jamaa alianza kujenga maapartment na hakuwahi kujenga eti nyumba ya kuishi na ni mmoja wa mamillionea huko marekani.
 
Nyumba ni Liability kama ndoto zako ni kumiliki nyumba kwaajili ya kuishi amka amka kumekucha....

Sikuhz tunajenga nyumba alafu tunaifanya ya biashara/ nunua viwanja weka kama assets sio kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi matajiri sikuhz tunaishi kwenye apartments na nyumba zako unapangisha 😁
Ukitaka hela za tanzania kihalali bini haki jenga nyumba ndogondogo zenye hadhi kwaajiri ya kupangisha wenye vipato vidogo. Unakuwa unasaidia jamii na ukiwa unajipatia kipato halali.
 
Kula,kusomesha,kubwa.kipato sasa hapa ndipo hoja ipo.kwanini utafutaji hurudi nyuma?
Tatizo neno utafutaji ni wizi kwa Tanzania, sasa mtu kisha iba na kajenga nyumba tayari, kwa hiyo mwenye akili lazima apunguze wizi,maana wizi ni hatari na unaweza fungwa na huo mjengo wakajala lala wanaume wenzio ambao hawajui kama wwe uliiba kujenga hiyo nyumba!!
 
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.

Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Tuonyeshe utofauti wako wewe
 
Ndogo ni issue binafsi na maamuzi ya mtu, sasa sijui wewe umejuaje ndogo za wa Tanzania wote ni zipi? Wengine kujenga ndo ndoto yao ya misingi
 
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.

Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Ushajenga mkuu?
Kujenga kunapunguza vitu vingi sana japo kama wewe ni under 30yrs tumia hio hela kuzalisha kama ni over 40 hilo ni jambo la msingi sana. jenga mapema

Mimi nipo katikati ya 30-40 ,ni kujenga vi appartment 2 bedroom namimi najioangisha hapo.dream house ntajenga badae
 
Back
Top Bottom