HOP HOPPER
Member
- May 12, 2018
- 65
- 109
Maendeleo ni Nini?Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.