HOP HOPPER
Member
- May 12, 2018
- 65
- 109
Maendeleo ni Nini?Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Kwahiyo nawe ukijenga unarelax?shida watu wanakurupuka kuandika tu humu bila hata kutafiti au kuuliza aelekezwe. si ajabu mleta mada hata hana habari ya kinachoendelea nchi jirani tu hapo.
Imani bila matendo ni batili.
Asiyefanya kazi na asile.
Yeye hana nyumba?Hii ishu aliizungumza sana mwandishi Robert kiyosaki
Mi ninaowafahamu ni mafreemason.watu wote unaowafahanu, wanafanya kazi? Hawaishi???
Mimi ninawafahamu watu kibao hawafanyi kazi na wanaishi vizuri sana tu
Ana nyumba zinazomwingizia kipato.Yeye hana nyumba?
Zipo familia zinateseka na kudhalilika sababu ya kuishi familia kubwa vyumba viwili au kimoja cha kupanga kutokana na ukosefu wa kipato. Watu wa aina hii wakipata pesa na kujenga nyumba watatue changamoto hii watakuwa wamekosea?Usitegemee ujenge nyumba ya Millions 30 kwaajili ya wew kuishi na hyo hela ikarudi hairudi ng’o
ni watu au sio watuMi ninaowafahamu ni mafreemason.
Maana yake alianza kuwa na nyumba ya kuishi baadae akaongeza nyumba kwa kuzifanya kuwa assets. Ni ngumu kwa Tz kuanza nyumba ya biashara kwanza kama Kuna factors kama vile family size na aina ya kipatoAna nyumba zinazomwingizia kipato.
Soma kitabu chake cha RICH DAD POOR DAD . Jamaa alianza kujenga maapartment na hakuwahi kujenga eti nyumba ya kuishi na ni mmoja wa mamillionea huko marekani.Maana yake alianza kuwa na nyumba ya kuishi baadae akaongeza nyumba kwa kuzifanya kuwa assets. Ni ngumu kwa Tz kuanza nyumba ya biashara kwanza kama Kuna factors kama vile family size na aina ya kipato
Watu waliouza utu wao.ni watu au sio watu
Watu waliouza utu wao.
Ukitaka hela za tanzania kihalali bini haki jenga nyumba ndogondogo zenye hadhi kwaajiri ya kupangisha wenye vipato vidogo. Unakuwa unasaidia jamii na ukiwa unajipatia kipato halali.Nyumba ni Liability kama ndoto zako ni kumiliki nyumba kwaajili ya kuishi amka amka kumekucha....
Sikuhz tunajenga nyumba alafu tunaifanya ya biashara/ nunua viwanja weka kama assets sio kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi matajiri sikuhz tunaishi kwenye apartments na nyumba zako unapangisha 😁
Robert Kiyosaki Net WorthYeye hana nyumba?
Tatizo neno utafutaji ni wizi kwa Tanzania, sasa mtu kisha iba na kajenga nyumba tayari, kwa hiyo mwenye akili lazima apunguze wizi,maana wizi ni hatari na unaweza fungwa na huo mjengo wakajala lala wanaume wenzio ambao hawajui kama wwe uliiba kujenga hiyo nyumba!!Kula,kusomesha,kubwa.kipato sasa hapa ndipo hoja ipo.kwanini utafutaji hurudi nyuma?
Tuonyeshe utofauti wako weweTunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Ushajenga mkuu?Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Mtu hafanyi kazi? yaani analala alafu anaishi?labda anainvestment au sijaelewawatu wote unaowafahanu, wanafanya kazi? Hawaishi???
Mimi ninawafahamu watu kibao hawafanyi kazi na wanaishi vizuri sana tu