Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Mpo salama!

Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.

Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania utawakuta wakitoa maoni Yao wakisema hao ni Wachagga.

Ukiende kwenye page ya Mange Kimambi ambaye yupo upande wa Mbowe, ukifuatilia maoni ya watu kwenye page hiyo utaona wakimhusisha Mange Kimambi na Uchagga ilhali Mange sio mchaga Bali Mpare.

Utasikia wakimwambia Mange Kimambi, ninyi Wachagga wabaguzi Sana kwa vile ni mchaga mwenzako ndio maana unamuunga Mkono.

Hoja ya ukabila ndani ya CHADEMA inapaswa ifutwe kiivitendo hicho ndicho Watanzania wanataka.

Sio ajabu watu wa kanda ya ziwa, kusini, na kanda ya Kati wanamuunga Mkono Tundu Lisu.

Inajulikana kuna uhusiano wa karibu baina ya Wachagga na watu wa kanda ya mashariki ambayo ni Pwani yote.

Ngoja tuone
 
No, watanzania wa kawaida wameumia miaka mingi sana,wamepigwa virungu sana, mwagiwa maji ya kuwasha sana, wengine wamekuwa walemavu, wamepoteza mitaji hadi maisha, mwisho wa siku wanakuja kugundua mwenyekiti wao ni mlamba asali. hicho ndicho kinachowakera na kufanya wamsapoti Lisu. hakuna lingine.
 
Kuna watu wanawachukia Wachaga hata bila sababu.

Mchaga kufanikiwa utasikia ametoa kafara, ni mwizi na blah blah kibao.

Mchaga akienda kwao utasikia ameenda kutambikia mizimu.

Utakuta mtu mzima JF analeta mada kuwa wanawake wengi Wachaga ni wajane na anatoa ushauri kabisa kuoa Mchaga ni kulitafuta kaburi.

Itoshe kusema kuwa wale watu wenye mtazamo wa kuwa CHADEMA ni chama cha Wachaga ni watu walewale wenye chuki na Wachaga zisizo na sababu.
 
Mpo salama!

Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.

Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania utawakuta wakitoa maoni Yao wakisema hao ni Wachagga.

Ukiende kwenye page ya Mange Kimambi ambaye yupo upande wa Mbowe, ukifuatilia maoni ya watu kwenye page hiyo utaona wakimhusisha Mange Kimambi na Uchagga ilhali Mange sio mchaga Bali Mpare.

Utasikia wakimwambia Mange Kimambi, ninyi Wachagga wabaguzi Sana kwa vile ni mchaga mwenzako ndio maana unamuunga Mkono.

Hoja ya ukabila ndani ya CHADEMA inapaswa ifutwe kiivitendo hicho ndicho Watanzania wanataka.

Sio ajabu watu wa kanda ya ziwa, kusini, na kanda ya Kati wanamuunga Mkono Tundu Lisu.

Inajulikana kuna uhusiano wa karibu baina ya Wachagga na watu wa kanda ya mashariki ambayo ni Pwani yote.

Ngoja tuone
Lisu aende kwenye chama Cha Wanyaturu wenzie
 
Hili kundi lipo kweli
 
Hili kundi lipo kweli kabisaa
 
Kuna watu wanawachukia Wachaga hata bila sababu.

Mchaga kufanikiwa utasikia ametoa kafara, ni mwizi na blah blah kibao.

Mchaga akienda kwao utasikia ameenda kutambikia mizimu.

Utakuta mtu mzima JF analeta mada kuwa wanawake wengi Wachaga ni wajane na anatoa ushauri kabisa kuoa Mchaga ni kulitafuta kaburi.

Itoshe kusema kuwa wale watu wenye mtazamo wa kuwa CHADEMA ni chama cha Wachaga ni watu walewale wenye chuki na Wachaga zisizo na sababu.

Dhana hiyo inatumiwa pia na maadui wa CHADEMA wakiwemo CCM
 
Mpo salama!

Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.

Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania utawakuta wakitoa maoni Yao wakisema hao ni Wachagga.

Ukiende kwenye page ya Mange Kimambi ambaye yupo upande wa Mbowe, ukifuatilia maoni ya watu kwenye page hiyo utaona wakimhusisha Mange Kimambi na Uchagga ilhali Mange sio mchaga Bali Mpare.

Utasikia wakimwambia Mange Kimambi, ninyi Wachagga wabaguzi Sana kwa vile ni mchaga mwenzako ndio maana unamuunga Mkono.

Hoja ya ukabila ndani ya CHADEMA inapaswa ifutwe kiivitendo hicho ndicho Watanzania wanataka.

Sio ajabu watu wa kanda ya ziwa, kusini, na kanda ya Kati wanamuunga Mkono Tundu Lisu.

Inajulikana kuna uhusiano wa karibu baina ya Wachagga na watu wa kanda ya mashariki ambayo ni Pwani yote.

Ngoja tuone
Tunatoka tukirudishe chama Tanganyika, huko uchagani kinazidi kidorora kila uchao
 
Back
Top Bottom