Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

Mange kimambi ana mchango gani katika siasa za Tanzania ?

Ana influence Kwa watu ambao hawana uwezo wa kujitafutia taarifa
 
Hizo ni politics nyepesi sanaaa, huo wimbo umeanza enzi za jpm bado chadema ipo.

Kingekuwa chama cha wachaga, 89 % ya viongozi wangekuwa wachagga.
Lakini haiko hivyo kwa hiyo mada yako ni irrelevant
 
E Ebo , yafaa waache chuki tuijenge nchi yetu kwa upendo daima !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…