Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

Tundu Lisu capita ila tatizo Mbowe hawezi kukubali matokeo. Alisema Chama chake.
 
Hao ni watanzania vilaza amabao hawapaswi kabisa kuwepo ktk hili taifa
 
Huelewi Historia, Tanganyika kabla ya wakoloni zilikuwa ni Kingdom, hata Kilwa ilikuwa ni dola yenye sarafu yake, tatizo ccm imewajaza ujinga Watanzania wengi hawajui lolote, soma sera ya majimbo ya Chadema utaelewa.

..hoja ya sonofobia kwamba Marealle alipinga uhuru ilishajibiwa.

..ushahidi wa nyaraka toka UN umeonyesha kwamba Marealle aliunga mkono Tanganyika ipate uhuru.

..swali la kujiuliza ni nini ilikuwa malengo ya walioeneza uzushi huo? Na uzushi huo ulionezwa kwa miaka mingi sana.
 
Msifanye battle na wachaga jaman, Huwa wanaungana katika shida na raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…