Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Hamna lolote. Mbona tulikuwa tukiingia kila mtu anapoa?Nani alikuwa anawaogopa watu. Hakuna walinzi wanaojiamini Kama wa ile kampuni niliyokuwa nafanyia kazi.
Acha uwongo. Kwanza wewe siyo TISS.Hamna lolote. Mbona tulikuwa tukiingia kila mtu anapoa?
Kinakuwa kimyaa!! Ila hapa unajifanya eti hakuna mtu anaogopa TISS pale ofisini kwenu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ata wewe Pia ni Mmoja wao piaHata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.
Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!
Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.
.............................................................
Mimi pekee form four pale Azania 🤣🤣🤣😂😂😂JF wote ni Usalama.
Wasomi walioandika papers za kutosha, wengi master zao wamezichukulia Leeds.
Mtoa mada bora tu umesema kweli..Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.
Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!
Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.
.............................................................
Hawana officially msemaji,but nasikia wamewahi kufanya press conference wakati fulani,aliyezungumza alikuwa Boss waoHivi wale jamaa hawanaga msemaji wao kama jinsi inavyokua kwenye Taasisi nyingine?
Kwa kufikiri hivi tu' nao ni uzwazwa...Kuwa usalama wa taifa ni kuwa ndaani ya serikali. Unapokuwa mtu wa serikali unaogopwa na kuheshimiwa
Unajitetea.Acha uwongo. Kwanza wewe siyo TISS.
Ni mtu tu labda uliyekuwa unawaona wanakuja na kuondoka.
Tatu, Makinikia hayakua Zamcargo pekee yalikuwa mpaka TICTS ambako kote TISS na Feed Force walikuwa wanaenda.
Waliruhusiwa kuendelea kusafirisha.Unajitetea.
Yeah, actually Mimi siyo TISS,nilikuwa nachangamsha genge tu..Yale makinikia yaliishia wapi hivi?
Ile ishu magu alikurupuka asee.Waliruhusiwa kuendelea kusafirisha.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Kuna jamaa yangu mmoja namweshimu Sana.Siku moja tupo Barabarani V8 in namba plate ya UT ,akaanza stori zake za kiwaki "Hii kazi ya usalama wa taifa Ni kazi ninayoikubali sana,naona wajomba wapo mzigoni. ". Nikamjibu siku nyingine ukiona namba plate imeandikwa UT basi tambua hiyo ni UHAMIAJI TANZANIA. Kuanzia hapo ukimya ukatawala Kama dakika 3.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app