Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa

Mngejua msingekuwa mnaropoka hovyo tu... kwanza TISS hawachukui watu wajingajinga na wakiona uko smart unahitaji msasa kidogo wataku-shape wanavyotaka wao.

Pia ni kazi hatari mno! Watu kila saa matumbo yanawauma kwa uoga we kalagabaho uliyefeli kila kitu maishani unadhania ni rahisirahisi tu au kila mtu anaweza kuwa kule 😊😊😊 acheni kabisa.

Alafu pia mbona nchini kuna issue nyingi tu za kuongelea na kushughulika nazo?! 🤔🤔🤔 mnaona haitoshi mnataka kupekua na mambo ya TISS pia 😃... kuna mwaka walitakaga kushughulika na JF mpaka wakamtia hatiani Mr. Melo sijui mnakumbuka?! Naona saiv imekuwa tena mada pambe humu eeh😃😃😃

Mnachokitafuta mtakipata...😊👍🏾
Acha uwongo.

TISS ni Jeshi usu. Training zao physically hazizidi hata Magereza na Police. Ni mafunzo ya kawaida na matumizi ya silaha nyepesi Kama Mgambo, zimamoto, na Uhamiaji.

Pili, unaposema wanachukua watu smart, hizo ni stori zako za vijiweni tu.

Tatu, TISS wa TZ ni wa kawaida sana na utaratibu wao wa kazi unawakosesha Uhuru. Kwasababu TISS siyo taasisi ya kujitegemea, ni idara chini ya ofisi ya Rais. Hivyo wanafanya kazi zao Kama 'chawa' wa Rais.
 
Dah,..kazi ngumu hiyo..na ina hatari Sana..
 
Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.

Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!

Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.

.............................................................

Wengi wanapenda hiyo kazi kwasababu ya:-

1.Kula mademu bure - Demu akijua wewe ni UWT utamla bure.

2.Offer za Bia na pesa za kuhongwa na wafanyabishara.

3.Kupiga deal ,mishemishe kwa kutumia mwamvuli wa kitengo.

Hasara zake:-

1.Ipo siku mwili utaokotwa kwenye mtaro au kisima.

2.Ipo siku watasema ni jambazi ameuawawa au umeuwawa na majambazi.

3.Uhuru hauna hata chembe ,nilimuona jamaa kwenye utawala wa magu akafuta hadi acc FB.

Kwa mtu ambaye kichwa chake kina wenge hiyo kazi hamfai ,hatodumu ,dakika 0 wanakula kichwa....Hii kauli aliitoa Brigedia mmoja ambaye alimwambia kijana wake ambaye alikuwa anataka connection ya huko .
 
Sio lazima uwe usalama wa taifa kwanza anza kua usalama Wa family yako then ndo uje kua usalama wa taifa hasa bongo unakuta madogo wanataman hi job lakin Wapo poor kwa kila kitu.....
Wengine hata usalama wa wamtaa unawashinda.

Eti diwani atqpotezwa. Wabongo bana
 
Huna AKILI
Sawa mimi sina akili wewe una nini? Unajiona GT kumbe hamnazo tu foolish GT hua hana mda wa kuwaambia watu hawana akili sababu kila mtu ana upeo wake wa kufikiri so how do you think bogus?
 
Unakalia
 
Hiyo na jeshi.

cha ajabu binafsi yangu ni shughuli zimenipitia kushoto.
 
Hata mimi nataka... Nimuulize mtu hivi wewe unanijua mimi ni Nani???
 
Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.

Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!

Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.

.............................................................
Sio wote wanapenda kama mimi siipendi kabisa maana naona kama nitatakiwa kuwa na adabu na maisha ya kufuata mfumo kuliko kuwa huru , hata biashara zangu za kilimo ningekuwa nazifanya kwa uoga sana wa kufuatiliwa na wakubwa zangu
 
Acha uwongo.

TISS ni Jeshi usu. Training zao physically hazizidi hata Magereza na Police. Ni mafunzo ya kawaida na matumizi ya silaha nyepesi Kama Mgambo, zimamoto, na Uhamiaji.

Pili, unaposema wanachukua watu smart, hizo ni stori zako za vijiweni tu.

Tatu, TISS wa TZ ni wa kawaida sana na utaratibu wao wa kazi unawakosesha Uhuru. Kwasababu TISS siyo taasisi ya kujitegemea, ni idara chini ya ofisi ya Rais. Hivyo wanafanya kazi zao Kama 'chawa' wa Rais.
🤣 Acha nifurahi tu
 
Dahh! Pole sana!
 
Kwa sababu, Afisa usalama kwenye jamii yetu ni mtu anayeogopwa, [emoji23][emoji23][emoji23] yaani kuna na status flani unakuwa nako ukitambulika kama afisa usalama, vile vile tunadhani ile kazi ni umbea, sasa kwa kuwa tunapenda umbea, lazima tuipende
 
Back
Top Bottom