MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Huna AKILIOngezea ni wanajeshi sio walinzi wa mageti labda ulikutana UT feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna AKILIOngezea ni wanajeshi sio walinzi wa mageti labda ulikutana UT feki
Acha uwongo.Mngejua msingekuwa mnaropoka hovyo tu... kwanza TISS hawachukui watu wajingajinga na wakiona uko smart unahitaji msasa kidogo wataku-shape wanavyotaka wao.
Pia ni kazi hatari mno! Watu kila saa matumbo yanawauma kwa uoga we kalagabaho uliyefeli kila kitu maishani unadhania ni rahisirahisi tu au kila mtu anaweza kuwa kule 😊😊😊 acheni kabisa.
Alafu pia mbona nchini kuna issue nyingi tu za kuongelea na kushughulika nazo?! 🤔🤔🤔 mnaona haitoshi mnataka kupekua na mambo ya TISS pia 😃... kuna mwaka walitakaga kushughulika na JF mpaka wakamtia hatiani Mr. Melo sijui mnakumbuka?! Naona saiv imekuwa tena mada pambe humu eeh😃😃😃
Mnachokitafuta mtakipata...😊👍🏾
Uvccm hahaa ,upelezi ,igo siriii ,andakava saa mbovu.
Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.
Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!
Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.
.............................................................
Anaogopa kivuli chakeSasa mbona umefuta aya ya mwisho
Wengine hata usalama wa wamtaa unawashinda.Sio lazima uwe usalama wa taifa kwanza anza kua usalama Wa family yako then ndo uje kua usalama wa taifa hasa bongo unakuta madogo wanataman hi job lakin Wapo poor kwa kila kitu.....
Boss wa dawati la siasa?Hawana officially msemaji,but nasikia wamewahi kufanya press conference wakati fulani,aliyezungumza alikuwa Boss wao
Sawa mimi sina akili wewe una nini? Unajiona GT kumbe hamnazo tu foolish GT hua hana mda wa kuwaambia watu hawana akili sababu kila mtu ana upeo wake wa kufikiri so how do you think bogus?Huna AKILI
UnakaliaSawa mimi sina akili wewe una nini? Unajiona GT kumbe hamnazo tu foolish GT hua hana mda wa kuwaambia watu hawana akili sababu kila mtu ana upeo wake wa kufikiri so how do you think bogus?
Mkuu najijua mimi ni Genius hakuna haja ya kuniambia mara nyingi, unanipamba sanaUna kalia
Sio wote wanapenda kama mimi siipendi kabisa maana naona kama nitatakiwa kuwa na adabu na maisha ya kufuata mfumo kuliko kuwa huru , hata biashara zangu za kilimo ningekuwa nazifanya kwa uoga sana wa kufuatiliwa na wakubwa zanguHata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa.
Kila mmoja anataka kuwa Usalama... Sijui ni kwasababu ya kuishi kwenye comfort zones zetu! Kwasababu ni kazi ya Siri basi wengi wanadhania ndiyo Bora. Au kwasababu tunapenda kuonekana miamba kwa wengine!
Diwani yametokea ya kumtokea hapa jukwaani ikawa mshikemshike... kila mmoja yupo jikoni. Baada ya taarifa hii ni nyingine. Wengine wapo Makwao huko Nanjilinji ila anajua kinachoendelea Ikulu.
.............................................................
🤣 Acha nifurahi tuAcha uwongo.
TISS ni Jeshi usu. Training zao physically hazizidi hata Magereza na Police. Ni mafunzo ya kawaida na matumizi ya silaha nyepesi Kama Mgambo, zimamoto, na Uhamiaji.
Pili, unaposema wanachukua watu smart, hizo ni stori zako za vijiweni tu.
Tatu, TISS wa TZ ni wa kawaida sana na utaratibu wao wa kazi unawakosesha Uhuru. Kwasababu TISS siyo taasisi ya kujitegemea, ni idara chini ya ofisi ya Rais. Hivyo wanafanya kazi zao Kama 'chawa' wa Rais.
Imagine TISS anaripoti kwa Jokate Mwegelo, Nikki wa Pili, Mchopanga, Dogo Janja wa Arumelu, na Ally Hapi🤣 Acha nifurahi tu
Dahh! Pole sana!Acha uwongo.