Watanzania wengi wanapenda kuwa Usalama wa Taifa


Mzee anasemaga subiri muingie 18 yard mtajua TISS Ni Nini.
Hakuna maneno mengi.πŸ“Œ
 
Naomba connection na mie niingie kitengo madam mzuri.. niwa navaa kaunda
Ukibahatika kuingia huko UTAJUTA!

Na kule huenda ambaye hata hakutarajia wala hakutaka kwenda Ila kajikuta kaenda 😊😊😊 sasa we bora endelea na shughuli zako na za kujenga nchi kwa ujumla... nakushauri achana na hiyo kitu
 
haha! Watu bana... hivi hawakusoma ile story ya bwana mmoja waliyempa jina la "JOHN GWERU"...?!
Vile vilivyomo sirini ndio mtego mkubwa kwa watu kutaka kujua kukoje.
Wakizama na kukutana na Ukiwa, unyama na order za Ajabu wanajutia kuwajua 🀣
 
Kmmk umenichekesha 🀣🀣🀣🀣
 
Kuwa smart ni pamoja na kupotezea ku-comment mambo usiyo na uelewa nayo wewe kiherehere kila mada we unajua (much know) alafu unataka kuwa kitengo
 
Mtoa mada bora tu umesema kweli..
Ety mijitu mingine ikitaka kutongoza utasikia tu ooh nice usalama wa taifa.
Sijui wanaona ndo nn masikini wakati pesa ndo muhimu zaid
Ss usalama c ndo kuna helaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Story za ukuzwaji wa watu hiyo idara na uhalisia ni tofauti kidogo.. Vijana wa NS waliokuwa wanajenga Ikulu Dodoma wa mwanzo kabisa wakati wa mzee Jiwe walikua wanasumbuana sana na hao jamaa pale Getini, jamaa wanataka wasalimiwe kama maafande kwao ila vijana wa NS hawaelewi kitu haha pale Getini walikua wanaleteana sana umwamba ndo nikaelewa kumbe story zao nyingi ni ghahawa tu na tambwe nyingi.
 
Kijana ulikimbia umande nini?..

Sio kwa povu hilo
 
Wengi wanatamani kuwa usalama lakini hata wake au waume zao wameshindwa kuwa manage!
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na mwanamke wa kiafrika.Ukiweza hapo na bado ukawa na akili timamu,basi mbingu ni zako.
Kwa maneno mengine mwanaume genius,ni ngumu sana kuishi na mwanamke.
Wanaoishi na wanawake na kuwa manage ni wanaume wasiofaa kabisa kuwa kufanya kazi za kutumia akili

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
uliwahi kupita jeshi?! Au una jamaa, mzazi,ndugu au kijana wako kama umejaaliwa aliyewahi kupita jeshi?!

Kama jibu ni hapana... Kaa kimya, siku utakapoingia mikononi mwao ndo utaelewa au jibu kama ni ndio nikuulize sasa..... "Huonagi mabadiliko ya tabia na mwenendo kwa watu hao baada ya kuingia huko?!"
 
Ujinga tu, kila mmoja ana jukumu kwa usalama wa Taifa lake kwa namna yoyote ile inayofaa tofauti ni kuna walioajiriwa na wanalipwa tena mbaya zaidi kuna watu wapo kwa usalama na maslahi ya chama na baadhi ya viongozi walafi, kwa sasa natamani pesa tu, kama kuna mwenye mchongo wa kusafirisha ngada anipe tu.
 
Ubarikiwe saana, hii Comment yako itasaidia vijana wengi wengi akili timamu na fikra sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…