chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Kwani nyie ni wakenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyie ni wakenya?
NafikirI slow inaendana na uvivu,kingine vyakula tunavyokula havisaidii kuufanya mwili kua wakufanya kazi. .unakula ugali wahamira once done kula inaendana lala badala yakufanya kaziTuko slow sana, na tunapenda kunyenyekewa na kujipendekeza.
Afu tunaendekeza sana mambo yasiyo na mantiki, mf. Michango ya Harusi, Ushabiki wa mipira, kuweka heshima baa, n.k.. na kwenye mambo ya msingi huwa hatujigusi.
Halafu ni wanafiki kinoma yani.
AahahaaaaNawasalimu Kwa jina la Jamhuri,
Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.
i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.
2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?
3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?
4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.
5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?
Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau
Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.
Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Dah Bro, unahitaji kwenda English course. Hali yako si nzuri sana!Hamna nazungumzia Huduma za ndani I was been there as a student recently.
Uko sahihi,wanakera sana na hawajitambui kama wako hivyo.Ukithubutu kumpress Kwa hiyo Hali ujue utazua ugomvi mkubwa.Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,
Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.
i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.
2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?
3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?
4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.
5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?
Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau
Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.
Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Japo ni mchungu kumeza ila huu ndio ukweli wenyewe!. Naunga mkono hoja.Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,
Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
huu uzi umepata watu wenye akiliTuko slow sana, na tunapenda kunyenyekewa na kujipendekeza.
Afu tunaendekeza sana mambo yasiyo na mantiki, mf. Michango ya Harusi, Ushabiki wa mipira, kuweka heshima baa, n.k.. na kwenye mambo ya msingi huwa hatujigusi.
Halafu ni wanafiki kinoma yani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado uko shambani ...mvua zinanyesha kweli@Bujibuji Simba NyamaumeWanawakè wako slow sana kufika kileleni, I don't know why? Naendelea na utafiti.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hivi inaweza kuwa Sababu?
Upande wa mwenge sina uhakika Ila waache kuchangisha Watu kuhusu mambo ya mwenge,
Kuhusu twiga Kwa kweli wambadilishe, Twiga ni Mpole Sana alafu anamaringo mwisho kabisa Twiga ni Prey, wamtafute Mnyama ambaye ni Predator, prey wanazubaaga zubaaga na wapo kwaajili ya kuliwa tuu
I have been there as a student[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hamna nazungumzia Huduma za ndani I was been there as a student recently.