proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
[emoji3063][emoji3063]Na hata kutembea barabarani utakuta mtu njia yote kakaba yeye anetembea pole pole utafikiri bank ana milioni 100 kumbe balance ni negative.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3063][emoji3063]Na hata kutembea barabarani utakuta mtu njia yote kakaba yeye anetembea pole pole utafikiri bank ana milioni 100 kumbe balance ni negative.
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,
Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.
i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.
2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?
3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?
4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.
5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?
Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau
Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.
Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
KwaniNawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Utamaduni utamaduni, Ivi bongo umpite mtu bila kumsalimia seriously utakuwa mgeni wa naniWatanzania hata tunapokutana tunapoteza dakika kumi mpaka kumi na tano kusalimiana tu.
Utamaduni utamaduni, Ivi bongo umpite mtu bila kumsalimia seriously utakuwa mgeni wa nani
Wazungu wenyewe kwao ni wapweke Kwa sababu hawapendi kujichanganya Wala kujaliana.
Kwani
wewe ni mnyarwanda?
Avatar yako inaonesha we ni msukuma kabisa tena wa maganzo
Watanzania hata tunapokutana tunapoteza dakika kumi mpaka kumi na tano kusalimiana tu.
Watanzania tupo slow kwenye utoaji wa huduma jaman dah! Mhudumu anatanguliza dharau badala ya huduma
Kwa mambo wanayopenda hawako slow, fikiria askari wa wa upelelezi anapenda magazeti ya sports muuguzi anapenda udaku nk. Kesi zitafika meisho na mgonjwa atapona mapema?
Japo ni mchungu kumeza ila huu ndio ukweli wenyewe!. Naunga mkono hoja.
P
Nikweli tuko slow hata tunavyotembea unaweza ukamgonga mtu kwenye zebra yaani!!!
Shida ni mitaala mashuleni kuanzia vile tunasalimia darasani shkaaaaaamooooooo mwaaaaaliiiimu ni uslow mwanzo mwisho!
Turejeshe michezo,kilimo,ufugaji mashuleni!!! Kilashule itenge eneo la bustani hata mbogamboga zilimwe watoto korofi washinde humo badala ya viboko au kurudishwa nyumbani
Uko sahihi,wanakera sana na hawajitambui kama wako hivyo.Ukithubutu kumpress Kwa hiyo Hali ujue utazua ugomvi mkubwa.
Ni kweli kabisa, naunga mkono hoja I00%.
Matatizo yanayopekekea hayo ni mengi, pamoja na mila na desturi za Watanzania kuwa ni taifa la watu tegemezi.
Hospital za umma komesha kwa foleni zisizo na maana