Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.

Ni kweli kabisa, tuna ujinga mwingi sana! TUBADILIKE!
 
Kitendo cha watu kutokujali muda hapo tu inatosha kujua tuna watu wa aina gani yaani appointment saa nne bila aibu mtu anakuja saa sita, mimi hua wanakuta nimeondoka na kama ulisema tuonane saa tatu mimi saa mbili nanusu nafika ikifika saa tatu na dakika kumi haujatokea naondoka zangu itabidi sasa unitafute nilipo,
 
Angalia hata kutembea kwa watanzania, kwanza salamu zisizo na kichwa wala miguu yaani kusalimiana hadi msimame kwanza kama wendawazimu! Halafu barabarani mtanzania utamjua tu anatembea kwa kujivuta na kuburuza miguu kama vile anaumwa minyoo hapo unajua tayari pana shida, salimia mtu tembea huna sababu hadi usimame au kutembea unakuta mtu anashangaa shangaa tu bila mpango wowote hua inakera sana
 
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Tumelegwa labda na mlogaji amekufa na password
 
Angalia huko bungeni sasa mbunge anasimama kwanza anamshukuru Mungu wakati alitakiwa amshukuru Mungu alipoamka asubuhi kwake, halafu anamshukuru Rais, halafu anamshukuru mke wake yaani mtu kalala nae kitanda kimoja anaenda kumshukuru ndani ya bunge si angemshukuru walivoamka kitandani, halafu anawashukuru wapiga kura kosa awashukuru kwenye vikao vyake vya ndani na vikao vya hadhara huko jimboni, pale anatakiwa asimame aseme kero za jimboni kwake lakini dakika tano kapewa mjinga anashukuru dakika 3 halafu dakika 2 anasema matatizo kengele ya pili inagonga hajamaliza hoja za wananchi hadi unajiuliza huyu mbunge zimo kweli au ni garasha tu, ukihesabu dakika za kushukuru kwa mwaka kwa wabunge wote kwenye vikao vyote unakuta wamepoteza muda mwingi kwa upuuzi wa kijinga tu, hua inakera sana basi tu
 
Mkuu Taikon hakuna kiongozi wa ngazi ya taifa anayeweza kubalisha chochote. Mabadiliko yanaanza kwenye ngazi ya famili.

Mpaka pale majority watakapobadilika. Vinginevyo wachache watamezwa na mfumo wa wengi.
 
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Mkuu

Hebu fanya utafiti,kwanini wake zetu hawapendi kukaa na mama zetu!!?

Yaani mkeo hamtaki mama mower yaani mama yako!!

Hii nini!!?
 
Sababu kubwa ya watanzania wengi kuwa slow ni kwasababu ya vyakula wanavyokula hasa maharagwe na vyakula vingine ikiwemo nafaka zilizosagwa sana.. mafuta n.k sababu ya pili ambayo ni kubwa pia ni mazingira mabovu wanayoishi watanzania wengi.. mtu chumba kimoja wanakaa watu sita n.k sababu nyingine ni watanzania wengi kuzaana sana.. all in all watanzania wengi wapo slow kwababu ya ubongo kuwa slow sasa ubongo kuwa slow unasabisha na vitu vingi ikiwemo hizo nilizotaja hapo na zingine nyingi ...niishie hapo..
 
Umetisha Sana.
Sasa tunatokaje hapo
 
Mkuu Taikon hakuna kiongozi wa ngazi ya taifa anayeweza kubalisha chochote. Mabadiliko yanaanza kwenye ngazi ya famili.

Mpaka pale majority watakapobadilika. Vinginevyo wachache watamezwa na mfumo wa wengi.

Ni kweli Kabisa.
Inabidi Sisi kama wazazi wa kizazi hiki tusuke mfumo Mpya Kwa Watoto wetu
 
Mfano kidogo tu!! Gari lipo level seat ila konda hataki kuondoa gari, mpaka lijae, anasema debe la maji linajaa ila gari haijai. Ni kupoteza mda tu!
 
Back
Top Bottom