Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Kuzungushana sasa, utaratibu wa nenda hapa, njoo kesho, muhusika hayupo, jalada (file) halionekani. Nchi inachosha!
 
Hapo karibu wote wameajiriwa. Wajitume Duka la Baba Yao, ndio watakujibu hivyo
Ila pia nadhani maslahi duni na boss kutothamini mchango wa mwajiri nalo ni tatizo.
Kuna ant yangu aliajili kijana dukani kwake, kijana alikua anajituma mno na matokeo yanaonekana. Lakini yule mwanamke sijui hakumpenda tu ilikua haishiwi lawama juu yake mpaka dogo morali ikashuka mno.
 
Ona tu ufanisi wa kazi mfano bandarini,wako slow slow tu
Bado hujaenda kwenye taasisi zingine
Ila kwenye Kuiba wako chap chap

Ova
 
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.

Hii mentality ipo kila sehemu.
 
Hata WEWE UMEKUWA SLOW SANA kuyatambua yote haya.
 
Nilifika Rita pale makao makuu kufuatilia cheti cha mwanangu.
Mapokezi wakanambia nifike floor namba x kisha nimuulizie mtu kwa jina x.
Kufika palw nikamkuta mzee mmoja kanuna nuna.
Nikamuulizia mlengwa.
Mimi: shkamoo mzee, namuulizia flan
Mzee: simjui (huku kanuna na hajaikia salamu yangu)
Mimi: nimeambiwa yuko ofisi hii
Mzee: mpigie simu (kafyumu kinoma)

(hapa sasa nikawa nishakereka maana naona dingi kakaa kisharishari tuu na mimi nina haraka zangu ikabidi niweke heshima pembeni kabisaa niwe na mimi jeuri maana hawa wazee wa siku hiz wengi washenzi)

Mimi: sasa mimi nampigiaje mtu simu na simjui.Nipe namba zake basi mbona umekaa kijeuri jeuri hivyo mzee wangu??? (Hapo niliongea kijeuri haswaa)

Mzee: unasemaje wewe?

Mimi: umesikia nilichisema .nipe namba yake nimtafute.

Mzee: unajua mimi ni nani?

Mimi: sina mpango wa kujua wewe nani maana hunisaidii kwa lolote lililonileta hapa.
Mimi siko hapa kwasababu yako ila wewe uko hapa kwasababu yangu mimi hivyo jifunze kuwa na adabu kwa wateja.Usitake kunyenyekewa kwa vitu ambavyo ni wajibu wako.

Yule mzee akanichekiii kisha akatoa namba.

Nikamaliza ishu zangu nikasepa
Safi sana
 
Tuko slow sana, na tunapenda kunyenyekewa na kujipendekeza.

Afu tunaendekeza sana mambo yasiyo na mantiki, mf. Michango ya Harusi, Ushabiki wa mipira, kuweka heshima baa, n.k.. na kwenye mambo ya msingi huwa hatujigusi.

Halafu ni wanafiki kinoma yani.
Kuna ukweli mwingi katika hili, sisi ni watu wa kufanya mambo taratibu sana. Ziko hasara nyingi na faida pia katika utamaduni huu wa slow slow.
 
NafikirI slow inaendana na uvivu,kingine vyakula tunavyokula havisaidii kuufanya mwili kua wakufanya kazi. .unakula ugali wahamira once done kula inaendana lala badala yakufanya kazi
Hakika, tunakula wanga mwingi mno na vyakula vingine muhimu kwa uchache jambo ambalo sio zuri kwa afya ya mwili na akili.
Huenda ni chanzo kingine cha uzubaifu.
 
Angalia huko bungeni sasa mbunge anasimama kwanza anamshukuru Mungu wakati alitakiwa amshukuru Mungu alipoamka asubuhi kwake, halafu anamshukuru Rais, halafu anamshukuru mke wake yaani mtu kalala nae kitanda kimoja anaenda kumshukuru ndani ya bunge si angemshukuru walivoamka kitandani, halafu anawashukuru wapiga kura kosa awashukuru kwenye vikao vyake vya ndani na vikao vya hadhara huko jimboni, pale anatakiwa asimame aseme kero za jimboni kwake lakini dakika tano kapewa mjinga anashukuru dakika 3 halafu dakika 2 anasema matatizo kengele ya pili inagonga hajamaliza hoja za wananchi hadi unajiuliza huyu mbunge zimo kweli au ni garasha tu, ukihesabu dakika za kushukuru kwa mwaka kwa wabunge wote kwenye vikao vyote unakuta wamepoteza muda mwingi kwa upuuzi wa kijinga tu, hua inakera sana basi tu
Ni utamaduni wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom