Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

NafikirI slow inaendana na uvivu,kingine vyakula tunavyokula havisaidii kuufanya mwili kua wakufanya kazi. .unakula ugali wahamira once done kula inaendana lala badala yakufanya kazi
 
Aahahaaaa
 
Uko sahihi,wanakera sana na hawajitambui kama wako hivyo.Ukithubutu kumpress Kwa hiyo Hali ujue utazua ugomvi mkubwa.
 
Nikweli tuko slow hata tunavyotembea unaweza ukamgonga mtu kwenye zebra yaani!!!
Shida ni mitaala mashuleni kuanzia vile tunasalimia darasani shkaaaaaamooooooo mwaaaaaliiiimu ni uslow mwanzo mwisho!
Turejeshe michezo,kilimo,ufugaji mashuleni!!! Kilashule itenge eneo la bustani hata mbogamboga zilimwe watoto korofi washinde humo badala ya viboko au kurudishwa nyumbani
 
Japo ni mchungu kumeza ila huu ndio ukweli wenyewe!. Naunga mkono hoja.
P
 
Ni kweli wabongo tupo very slow kwenye utoaji wa huduma, utaona mhudumu anaacha foleni anaenda kula badala ahudumie haraka amalize ndo aende.
• majiono na majigambo ya watoa huduma wanajiona wao ni tabaka jingine hapa duniani, dharau kwa wateja aisee! Ni janga kwakweli
 
huu uzi umepata watu wenye akili
 
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…