Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

Kuzungushana sasa, utaratibu wa nenda hapa, njoo kesho, muhusika hayupo, jalada (file) halionekani. Nchi inachosha!
 
Hapo karibu wote wameajiriwa. Wajitume Duka la Baba Yao, ndio watakujibu hivyo
Ila pia nadhani maslahi duni na boss kutothamini mchango wa mwajiri nalo ni tatizo.
Kuna ant yangu aliajili kijana dukani kwake, kijana alikua anajituma mno na matokeo yanaonekana. Lakini yule mwanamke sijui hakumpenda tu ilikua haishiwi lawama juu yake mpaka dogo morali ikashuka mno.
 
Ona tu ufanisi wa kazi mfano bandarini,wako slow slow tu
Bado hujaenda kwenye taasisi zingine
Ila kwenye Kuiba wako chap chap

Ova
 

Hii mentality ipo kila sehemu.
 
Hata WEWE UMEKUWA SLOW SANA kuyatambua yote haya.
 
Safi sana
 
Kuna ukweli mwingi katika hili, sisi ni watu wa kufanya mambo taratibu sana. Ziko hasara nyingi na faida pia katika utamaduni huu wa slow slow.
 
NafikirI slow inaendana na uvivu,kingine vyakula tunavyokula havisaidii kuufanya mwili kua wakufanya kazi. .unakula ugali wahamira once done kula inaendana lala badala yakufanya kazi
Hakika, tunakula wanga mwingi mno na vyakula vingine muhimu kwa uchache jambo ambalo sio zuri kwa afya ya mwili na akili.
Huenda ni chanzo kingine cha uzubaifu.
 
Ni utamaduni wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…