Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Mamlaka bado hazijaamka vizuri, inapaswa ipite operation nyingine ya kurudisha wahamiaji haramu kwenye nchi wanazotokea.
 
Hilo ni kitu huwa najiuliza sana ni kama wapemba na uarabuni,yaani wanyaranda ni wazalendo kwa nchi yao kupitiliza.mimi mwenyewe kuna sumaku inanivuta kuishi huku japo ninezaliwa pwani
You can't avoid nature bro. Hata kama umezaliwa bongo hapa. Siku mzazi akakuambia asili yenu unajikuta tu sumaku imeanza kuvutia huko. Hata kama alikimbia vita miaka hiyo kuna uwezekano mkubwa wewe kurudi huko.
 
Unaweza kuwa sahihi watutsi wako nchi nne, Uganda, Tanzania, Congo, Burundi na Rwanda yenyewe. Lakini Utambulisho wa kitutsi uko Rwanda ndio maana inasemwa ni wanyarwanda kama ambavyo wewe ni mnyakyusa ingawa kiasili wewe ni Mlugulu wa Kingorowila Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…