GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni tabia ya Kipuuzi na Kishamba sana ambayo naiona imeshaota Mizizi hasa hapa Jijini/ Mkoani Dar es Salaam.
Yaani unakuta umekaa sehemu au mahala (katika Fremu yako ya Biashara) au Kwingineko kisha anakuja Mtu kutaka Huduma fulani badala ya Kwanza Kukusalimu aliyekukuta Yeye Moja kwa Moja anaulizia Huduma aitakayo au Mtu amtakaye.
Na akikuta haipo au hayuko kisha akakutana na Macho Makali ya GENTAMYCINE na Uso wangu Uliodinda kwa Usununu (Sura Ukauzu) ndipo anakumbuka Kunisalimu (tena Kinafiki) kana kwamba mwanzoni pale alipokuja hakuniona Mzanaki Mmakuwa na Mtutsi Mimi.
Nilichoamua sasa kwa Wapuuzi wa aina hii mkikutana nami Kwanza nakupa Jibu Umiza Mujarab kisha nakuangalia Nakumudu Akili yangu ikinijibu ndiyo nakusindikiza na ama Kibao na hata Ngumi Kali ya Mfaume Mfaume na nikiona Sikumudu Nakunyamazia tu.
Na nakuchunia huku nikikuangalia kwa Macho yangu Makali na yanayomshinda Mngwena (Mfalme) wa Nyikani (Porini) Simba ambayo kama hauko vizuri nikikuangalia nayo ni lazima tu utajikojolea au utaachia kidogo hata punje tu ya Nnya yako kwa Uwoga na Kuniogopa.
Kudadadeki zenu jifunzeni Kuheshimu Watu popote muendapo au muwapo na acheni Kusalimia baada ya Kukosa Huduma au Uliyemfuata kwani huo ni Unafiki Uliotukuka na Sanifu isiyovumilika.
Na mwisho acheni Dharau kwakuwa tu una Vijisenti kadhaa Benki au katika Miamala yako ya Simu au Umeshayapatia Maisha kwani huyo aliyekupa Leo Kesho anaweza Kukunyang'anya na akampa GENTAMYCINE unayemdharau.
Na bahati nzuri Mwenyezi Mungu alivyoniumba hata Siku nikizikamata huwa nakuwa vile vile tena Mnyenyekevu kwa Watu na nikizikosa huwa nakuwa Mchangamfu na mwenye Kujifariji na kuwa na Matumaini ya Kuzikamata tena Siku za Usoni na Maisha yanaenda.