Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Edina mamboSiku hizi una stress kwenye uso wako Uliodinda kwa Usununu.
Jitahidi Kwa sababu kifuatavyo DSTV ni BP
Basi muwe mnaziuliza pesa sio kusumbua watuSipendi watu wanaoabudu salamu utadhani ni msosi. Kwa wanawake ni shida,mwanamke akianza kutoa salamu huku anatabasamu basi anaonekana rahisi sana unakuta muuzaji badala ya kutoa huduma husika anaanza kuleta masihara. Fanyeni kazi ,tafuteni pesa. SALAMU BILA PESA KELELE TU
Salamu ni muhimu sana....kusema habari za saizi, Mambo, kwema, za uzima...Sasa Mtu kukusalimia anakuongezea nini?
Na asipokusalimia anakupunguzia nini?
Wengi wenye tabia hizo ni wale kituo chao cha kazi kipo pale MP1. Sijui itakuwaje😃Ni tabia ya Kipuuzi na Kishamba sana ambayo naiona imeshaota Mizizi hasa hapa Jijini / Mkoani Dar es Salaam.
Yaani unakuta umekaa sehemu au mahala ( katika Fremu yako ya Biashara ) au Kwingineko kisha anakuja Mtu kutaka Huduma fulani badala ya Kwanza Kukusalimu aliyekukuta Yeye Moja kwa Moja anaulizia Huduma aitakayo au Mtu amtakaye.
Na akikuta haipo au hayuko kisha akakutana na Macho Makali ya GENTAMYCINE na Uso wangu Uliodinda kwa Usununu ( Sura Ukauzu ) ndipo anakumbuka Kunisalimu ( tena Kinafiki ) kana kwamba mwanzoni pale alipokuja hakuniona Mzanaki Mmakuwa na Mtutsi Mimi.
Nilichoamua sasa kwa Wapuuzi wa aina hii mkikutana nami Kwanza nakupa Jibu Umiza Mujarab kisha nakuangalia Nakumudu Akili yangu ikinijibu ndiyo nakusindikiza na ama Kibao na hata Ngumi Kali ya Mfaume Mfaume na nikiona Sikumudu Nakunyamazia tu.
Na nakuchunia huku nikikuangalia kwa Macho yangu Makali na yanayomshinda Mngwena ( Mfalme ) wa Nyikani ( Porini ) Simba ambayo kama hauko vizuri nikikuangalia nayo ni lazima tu utajikojolea au utaachia kidogo hata punje tu ya Nnya yako kwa Uwoga na Kuniogopa.
Kudadadeki zenu jifunzeni Kuheshimu Watu popote muendapo au muwapo na acheni Kusalimia baada ya Kukosa Huduma au Uliyemfuata kwani huo ni Unafiki Uliotukuka na Sanifu isiyovumilika.
Na mwisho acheni Dharau kwakuwa tu una Vijisenti kadhaa Benki au katika Miamala yako ya Simu au Umeshayapatia Maisha kwani huyo aliyekupa Leo Kesho anaweza Kukunyang'anya na akampa GENTAMYCINE unayemdharau.
Na bahati nzuri Mwenyezi Mungu alivyoniumba hata Siku nikizikamata huwa nakuwa vile vile tena Mnyenyekevu kwa Watu na nikizikosa huwa nakuwa Mchangamfu na mwenye Kujifariji na kuwa na Matumaini ya Kuzikamata tena Siku za Usoni na Maisha yanaenda.
Basi muwe mnaziuliza pesa sio kusumbua watu
Ya Kukukaza Kunakotukuka.We nae una shida
Govi Babaako.Toa makasiriko mjita na Govi lako
Nashukuru kwa Kulijua hili na hapa JamiiForums sijawahi na sitokuja Kueleweka na Wapumbavu na Wendawazimu kama akina sifi leo na fimboyaukwajuAna hoja asikilizwe hyu
Ni sawa...Salamu ni muhimu sana....kusema habari za saizi, Mambo, kwema, za uzima...
Just ni salamu ni ustaarabu wa mwafrika....
Mimi ni DISMINDER,
Mm hata usipo ni salimia still ntaku treat fair...
ipo siku ambayo utaijutia kisa tu hukusalimia NDIO utakua maana ya Salamu....
Tujizoeze kusalimia watu period!!!
Acha makasiliko yasiyo Na maana,tafuta Hela mkuuNi tabia ya Kipuuzi na Kishamba sana ambayo naiona imeshaota Mizizi hasa hapa Jijini / Mkoani Dar es Salaam.