Watanzania wenye tabia ya Kipuuzi kama hii ifuatayo mkikutana nami katika 18 zangu mtaanyooka tu

Watu wanaopenda salam huwa Wana matatizo makubwa Sana mwisho wa sku huwa wanauliza mpak kabila , hovyo kabisa
 
Kwa Mfano,
Mtu akiwa anaugua alafu watu (ndugu, jamaa na rafiki) wakawa wanafunga safari kumfuata na wengine wanatoka mpaka mikoani kwenda kumuona. Hivi wanafaidika nini kwenda kwa huyo mgonjwa ? Na yeye mgonjwa anafaidika na nini kufuatwa ? The same reasons zinaingia pia katika mada hii. Tafakari Vizuri
 
Basi muwe mnaziuliza pesa sio kusumbua watu
 
Sasa Mtu kukusalimia anakuongezea nini?

Na asipokusalimia anakupunguzia nini?
Salamu ni muhimu sana....kusema habari za saizi, Mambo, kwema, za uzima...
Just ni salamu ni ustaarabu wa mwafrika....
Mimi ni DISMINDER,
Mm hata usipo ni salimia still ntaku treat fair...
ipo siku ambayo utaijutia kisa tu hukusalimia NDIO utakua maana ya Salamu....
Tujizoeze kusalimia watu period!!!
 
Kwanza watu wengine wanatembea na VIMBOLA ukiwasalimia kama ulikuwa posta unajikuta dampo unashangaa na pochi huna akuuuu Mimi chichalimii mtu[emoji2763]
 
Wengi wenye tabia hizo ni wale kituo chao cha kazi kipo pale MP1. Sijui itakuwaje😃
 
Nikiondoa unafiki, yani unipite mbele yangu bila kusalimia uende huko mbele ukwame uje uniombe msaada, ntakuignore vizuri sana just like the way huku notice existence yangu

Kwani ukimuambia mtu mambo, niaje, kwema, assalamualaikum kuna shida gani
 
Ni sawa...
Ila mtu asipokusalimia ona kawaida tu...
Watu wanatembea na vitu vingi kichwani..
 
Acha makasiliko yasiyo Na maana,tafuta Hela mkuu

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…