realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Ningekuwa nani? Sijaelewa100%Fact. Una Akili nyingi Sana wewe mwanamke .Ungekuwa mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa nani? Sijaelewa100%Fact. Una Akili nyingi Sana wewe mwanamke .Ungekuwa mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimoja
Naam, naungana na wewe.Kila mtu afanye anavyoona inafaa kwa ajili ya vizazi vyake. Kama wazee wetu walilima na kujinyima kwa ajili ya elimu zetu, walioimq kahawa, mahindi na ndizi ili tukasome. Kwa nini sisi tuone kusomesha watoto ni utumwa.
Kweli shule za serikali ni dhaifu sana, kama unawapenda watoto wako na unajibidisha kufanya kazi hutaruhusu wakasome huko.
Mention their names so that we be sure that you are not talking about ghostsKwa bahati mbaya sana hata hao walimu wa shule za Kayumba wanapeleka watoto wao kwenye shule za EM, kupanga ni kuchagua
Tupeleke kwenye elimu Bora, huko kayumba ndo Kuna kina sultan wengiKwahiyo unashauri na sisi tupeleke watoto wetu kayumba
Mimi najua kiingereza ila sijasoma English medium ila cha umuhimu zaidi sioni dalili ya kufanikiwa maana nimeshaishi zaidi ya 50% ya life expectancy ya mtanganyika...maisha ni gemu moja tamu sana ukiipatiaKuna jamaa mmoja kwao alikuwa mambo safi... kuanzia chekechea hadi sekondari kasoma EM hadi chuo kaenda ST niniliu... lakini kingereza bado changamoto... kingine mnavyo shadadia kingereza,, kwani kinaongeza nini kwenye uchumi wako zaidi ya kuwa mtumwa tu? Kama kijua jifunze tu lakini usidhani ya kwamba kujua kingereza ni hakika ya mafanikio yako......
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaMimi nimesoma kayumba, niko mtaani sasa hivi na teammates wangu wengi wamesoma private. Mazungumzo yao ni fulani alifungua kampuni ya logistics, huyu tangu aende Canada hajawahi rudi, huyu amekopa milioni 50 kashindwa marejesho, huyu duka lake liliungua sasa hivi tunamchangia aanze kidogo upya.
Class langu la STD 7 na lile la Form 4 mwenye degree ni mmoja tu, story zao ni huyu kamkimbia mke wake, huyu kaiba TV, huyu kapata kazi unesi Nachingwea. Alafu nina walevi wa visungura wengi.
Kayumba wenzangu wamezalisha wanawake vibaya mno uko mtaani. Hainikai akilini mwanangu nikimpata naye aende amebeba vidumu shule kama mimi.
Sisi wazee wa Kikubwa uhai, tutazame mtanange kwa makini😆Kayumba Vs english Medium trending again!
Nyumbani mnakaa nae muda mchache hivyo haina madhara kwake kuongea kiswahili au kilugha. Mcheki mtoto wa mwijaku,home mzee wake full kiswahili ila binti anapiga ung'eng'e kumzidi biden
Sio mbaya wacha wateseke si wamependa wenyewe au ndo vile wameshaona mateso waliyoyapata kwa kusoma kayumba hivyo wanalipa kwa watoto wao kusoma ems
Aisome LIKUDNashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.
Shoga zangu tuliokuwa tunasomesha wote EM karibu wote wamewarudisha Kayumba wanao wamebaki wachache ambao eti wanaogopa kuchekwa wataonekana wameshindwa maisha ila mateso Yao Sio ya dunia hii, mikopo kama yote, wananuka madeni na ndani hawana asset, hawana viwanja watoto wanalala chini ilimradi wasome EM..
Sasa najiuliza mateso yote hayo ya Nini wakati hata Kayumba wanaweza soma vizuri tu na Chuo wakafika kama.wanavyo fika wengine.
Poleni Sana watanzania wenzangu ambao bado mpo kwenye utumwa huo. Mungu awaongoze Sana mshituke mapema.
Sisemi kusomesha mtoto EM ni Vibaya ila Uwe na uwezo mkubwa Sana WA kifedha na assets za kutosha.
Kila mzazi anaweza kuamua nini cha kufanya katika maisha yake au ya mtoto wake (ateseke-asiteseke). Uamuzi wako hauwezi kuwa uwamuzi wa wazazi wengine. Kama umewarudisha watoto wako shule za kawaida umechagua mwenyewe kama ulivyofanya ulipowapwleka za English Medium.Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.
Shoga zangu tuliokuwa tunasomesha wote EM karibu wote wamewarudisha Kayumba wanao wamebaki wachache ambao eti wanaogopa kuchekwa wataonekana wameshindwa maisha ila mateso Yao Sio ya dunia hii, mikopo kama yote, wananuka madeni na ndani hawana asset, hawana viwanja watoto wanalala chini ilimradi wasome EM..
Sasa najiuliza mateso yote hayo ya Nini wakati hata Kayumba wanaweza soma vizuri tu na Chuo wakafika kama.wanavyo fika wengine.
Poleni Sana watanzania wenzangu ambao bado mpo kwenye utumwa huo. Mungu awaongoze Sana mshituke mapema.
Sisemi kusomesha mtoto EM ni Vibaya ila Uwe na uwezo mkubwa Sana WA kifedha na assets za kutosha.
Muongo wewe. Zanaki is one of the best schools in Tanzania. Parents can cross a fast moving train just to get their daughters to be admitted in that school.Hiyo hiyo....
Kaka umeongea bonge la point. Aisee nenda kwenye bar iliyo karibu nawe agiza: Two bottles of wine and two females . Talaka ( bili) niletewe MimiMtoto wako wa EM anaenda kuishia UDSM kama wa Kayumba. Wakimaliza hapo wote wanakuwa products za UDSM. Nobody gives a fu.ck where he went in Nursery/Primary school.
Kwahiyo wewe unampeleka mwanao huko kisa anatamani mabasi ya njano?Unajua mtoto anauma eeeee. Just imagine katoto kako kananyanyasika mtaani hadi kanakonda kakiona vigari vya njano vinawabeba wenzake waende shule.. hata kama wewe una ka Vitz kako unampeleka hapo kayumba, lakini yeye bado atatamani school bus... mbaya zaidi vitoto vya hizo miedium vinacheza kwa kiinglish muda woteee.. ... katoto kako kanakodoa macho tu... hakana raha mtaani, hakana raha nyumbani, kanatamani kangezaliwa kwa jirani. Hapo ndipo utakuta Mzazi anaamua kujitosa... kama mbwai na iwe mbwai wote watasoma huko huko kwenye kingereza cha kucheza na wenzao. Labda muishauri serikali ya government yenu ibadilishe mitaala, iweke na skulibasi. KUNA WALIONIELEWA
Kwa jinsi ulivyo nifurahisha. Ungekuwa mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimojaNingekuwa nani? Sijaelewa
Umesema ze what 😂😂Tunaogopa kupeleka kayumba Kwa sababu kiingereza Cha kayumba Huwa ni ze water is the drinking me the mouth badala ya kusema I am drinking water.Tusipangiane maisha
Na wewe ni tajiri?Huna lolote wewe unataka ku justify umasikini wako na uvivu wako wa kufanya kazi... Kwani English medium bei gani hadi mtu mzima ushindwe kulipia watoto...
Ungeleta hoja kwamba watu wapeleke watoto ktk English medium ambazo ni affordable...
Baadae watoto wa English medium wakianza kuchukua fursa mnaanza kuwaita watu mafisadi