Vice J
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 530
- 766
Oya likud kuwa na heshima mkuuKwa jinsi ulivyo nifurahisha. Ungekuwa mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya likud kuwa na heshima mkuuKwa jinsi ulivyo nifurahisha. Ungekuwa mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimoja
Check unge'ng'e huu kutoka kayumba .Muongo wewe. Zanaki is one of the best schools in Tanzania. Parents can cross a fast moving train just to get their daughters to be admitted in that school.
Ulikuwa unalipa shilingi ngapi na kwa kuwa "umeiokoa" hiyo pesa unaiwekeza kwenye nini? Inaweza ikawa sasa ni pesa ya kwendea saluni na mashindano ya simu kali.Nashukuru Mungu nilijitoa kwenye utumwa wa kujitakia na Sasa naishi kwa Amani kabisa watoto niliwatoa EM nimewaleta Kayumba sina Tena stress na mambo yanaenda vizuri na watoto wanafanya vizuri darasani. Twisheni ya nguvu. Aliyekuwa la 4 mwaka jana kapata A zote Masha'Allah.
Shoga zangu tuliokuwa tunasomesha wote EM karibu wote wamewarudisha Kayumba wanao wamebaki wachache ambao eti wanaogopa kuchekwa wataonekana wameshindwa maisha ila mateso Yao Sio ya dunia hii, mikopo kama yote, wananuka madeni na ndani hawana asset, hawana viwanja watoto wanalala chini ilimradi wasome EM..
Sasa najiuliza mateso yote hayo ya Nini wakati hata Kayumba wanaweza soma vizuri tu na Chuo wakafika kama.wanavyo fika wengine.
Poleni Sana watanzania wenzangu ambao bado mpo kwenye utumwa huo. Mungu awaongoze Sana mshituke mapema.
Sisemi kusomesha mtoto EM ni Vibaya ila Uwe na uwezo mkubwa Sana WA kifedha na assets za kutosha.
Bora hivyo Kuliko kumpa Mr. muggetta in the name of school feesUlikuwa unalipa shilingi ngapi na kwa kuwa "umeiokoa" hiyo pesa unaiwekeza kwenye nini? Inaweza ikawa sasa ni pesa ya kwendea saluni na mashindano ya simu kali.
Mkuu mpeleke chanja shule za maana acha janja janja mtani.
Unaota unajua ushindani wa mtu kujiunga na UDSM? Lazima mtoto.awe amefaulu sana Form four na form six kwa mpigoMtoto wako wa English Medium anaenda kuishia UDSM kama wa Kayumba. Wakimaliza hapo wote wanakuwa products za UDSM. Nobody gives a fu.ck where he went in Nursery/Primary school.
kwanini msiwafundishe huko ulipo wewe, hizo shule za EM walimu wametoka Ulaya au ni watanzania wenzio?Unamanisha sie waalimu wa shule za ummah kufjndisha watoto wetu English medium ni lack of financial literacy? Kwasababu take home yetu ni 800k kodi ya nyumba 200k chakula 300k I.e 10k@ per day usafiri 50k kwa mwezi dstv/ Azam king"muzi 35k bills za maji na Luku 20k, soft drink kazini 30k hiyo inao baki ndo tunapaleka kwenye basi ya njano, huo ni kua na financial mis management.
Wahindi wanaishi nyumba za kupanga za National Housing na wanasomesha watoto shule za bei mbayaUwekezaji usio na Tija huo.
Mtu kipato cha kubangaiza, nyumba ya kupanga, Hana Kiwanja, kila mwaka atoe Milioni Moja unusu kwa EM ati Elimu Bora😂😂
Wabongo bhana
Wabongo wengi vichwa majiUwekezaji usio na Tija huo.
Mtu kipato cha kubangaiza, nyumba ya kupanga, Hana Kiwanja, kila mwaka atoe Milioni Moja unusu kwa EM ati Elimu Bora😂😂
Wabongo bhana
kayumba sio sekondari , kayumba ni shule za msingi zinazomilikiwa na serikaliNimesoma Zanaki tena town huko ndani ndani Hali ikoje?
kwanini msiwafundishe huko ulipo wewe, hizo shule za EM walimu wametoka Ulaya au ni watanzania wenzio?
Mfano wako hata hauendani wote tunajua kwanini wahindi wa Tz hukaa NHCWahindi wanaishi nyumba za kupanga za National Housing na wanasomesha watoto shule za bei mbaya
Mtu kuwa anapanga nyumba haina maana kuwa ni maskini
Kumbe mama watoto wako hulali nae kitanda kimoja 😜Kwa jinsi ulivyo nifurahisha. Ungekuwa mke wangu Leo ningekupa zawadi ya kulala na Mimi kitanda kimoja
🙏🙏Muongo wewe. Zanaki is one of the best schools in Tanzania. Parents can cross a fast moving train just to get their daughters to be admitted in that school.