Watanzania wenye vipato vya chini wanao somesha English Mediums wanateseka hadi nawaonea huruma

Naam, naungana na wewe.
 
Kwa bahati mbaya sana hata hao walimu wa shule za Kayumba wanapeleka watoto wao kwenye shule za EM, kupanga ni kuchagua
Mention their names so that we be sure that you are not talking about ghosts
 
Mimi najua kiingereza ila sijasoma English medium ila cha umuhimu zaidi sioni dalili ya kufanikiwa maana nimeshaishi zaidi ya 50% ya life expectancy ya mtanganyika...maisha ni gemu moja tamu sana ukiipatia
 
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea
 
Nawakumbusha shule za kata ni nyingi za serikali huko ndo kunaongoza Kwa mazozola mnoo Kila siku zinashika mikia wakat unapopanga kumpeleka shule mtoto primary unatakiwa uangalie na mbele baada ya hapo ataenda kata???

Nasimama na EM
 

Upo so much obsessed na kuongea kiingereza eti eeh?
 
Aisome LIKUD
 
Kila mzazi anaweza kuamua nini cha kufanya katika maisha yake au ya mtoto wake (ateseke-asiteseke). Uamuzi wako hauwezi kuwa uwamuzi wa wazazi wengine. Kama umewarudisha watoto wako shule za kawaida umechagua mwenyewe kama ulivyofanya ulipowapwleka za English Medium.
 
Mtoto wako wa EM anaenda kuishia UDSM kama wa Kayumba. Wakimaliza hapo wote wanakuwa products za UDSM. Nobody gives a fu.ck where he went in Nursery/Primary school.
Kaka umeongea bonge la point. Aisee nenda kwenye bar iliyo karibu nawe agiza: Two bottles of wine and two females . Talaka ( bili) niletewe Mimi
 
Kwahiyo wewe unampeleka mwanao huko kisa anatamani mabasi ya njano?
 
Huna lolote wewe unataka ku justify umasikini wako na uvivu wako wa kufanya kazi... Kwani English medium bei gani hadi mtu mzima ushindwe kulipia watoto...
Ungeleta hoja kwamba watu wapeleke watoto ktk English medium ambazo ni affordable...
Baadae watoto wa English medium wakianza kuchukua fursa mnaanza kuwaita watu mafisadi
 
Tunaogopa kupeleka kayumba Kwa sababu kiingereza Cha kayumba Huwa ni ze water is the drinking me the mouth badala ya kusema I am drinking water.Tusipangiane maisha
Umesema ze what 😂😂
 
Na wewe ni tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…